DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
[emoji599]BARUA RASMI YA YANGA KWENDA AZAM JUU YA MAJADILIANO YA UHAMISHO WA JAMES AKAMINKO NA KIPRE JR.
- CEO Andre Mtine kwenye barua hiyo amewaomba Azam wafungue majadiliano ya wao Wananchi kuwanasa nyota hao wawili baada ya tathmini ya kikosi chao na wangependa biashara iishe dirisha hili dogo.
huku Azam wakikiri kupokea barua hiyo.