Rasmi: Yanga yatuma barua kwa Azam fc kutaka kuwasajili wachezaji James Akaminko na Kipre jr

Rasmi: Yanga yatuma barua kwa Azam fc kutaka kuwasajili wachezaji James Akaminko na Kipre jr

Kwamba hii barua inavujishwa makusudi kuwaambia Mashabiki Azam FC walitakiwa kufanya hivi sio? [emoji2]

Ukweli mnaujua kwamba Wala Azam FC hawakuhitajika kufanya hivi kwasababu ya vipengele vya ule Mkataba havikuwalazimisha kufanya nyie mnavyotaka.

Barua ambazo zinatakiwa kuwa ni Mali na Siri ya taasisi kubwa kama zinavuja tu kama Pakacha.Haya ni Moja ya mambo ya Aibu kwa mwaka 2022.

Ule Mktaba wa Toto naambiwa watu walikuwa nao tu mtaani wanafungia Maandazi Imagine that.Hata Enzi za Mzee Ngozoma Matunda hali haikuwa hivi. Kwanini?

Na nasikia hata Mktaba wa Kalala upo mtaani.Na nasikia upo uchi zaidi kwenye vipengele vya kuuvunja kuliko huu wa Toto
Mkiambiwa mnaongozwa na hisia mnakua wakali. Huo mkataba wa Feitoto kwa mnauficha kama ulikua unafungiwa maandazi? Kwa nini usiulete hapa wote tuuone unabaki kuscreenshot na kucrop vipande vipande unaficha ficha nini sasa?

Hamnazo wemzenu ndio watakubaliana na huo utoto mnaoandika sio sisi. Sawa mtoto?
 
Je, hii ligi waliyoianzisha Utopolo wataiweza?

Na inatoa picha moja kwa moja kuwa sakata la feisal bado bichi na inavyoonesha wauza ukwaju washambeba feitoto,ndio maana uto wanataka kufanya revenge

Akili ndogo
 
Back
Top Bottom