Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Mmekuwa kama mnasherekea kitchen party. mipasho, taarabu, masengenyo yamewajaa.Taji la kucheza kigodoro labda maana hilo ndiyo mnaweza kufanya bila kutoa bahasha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmekuwa kama mnasherekea kitchen party. mipasho, taarabu, masengenyo yamewajaa.Taji la kucheza kigodoro labda maana hilo ndiyo mnaweza kufanya bila kutoa bahasha
Mkiambiwa mnaongozwa na hisia mnakua wakali. Huo mkataba wa Feitoto kwa mnauficha kama ulikua unafungiwa maandazi? Kwa nini usiulete hapa wote tuuone unabaki kuscreenshot na kucrop vipande vipande unaficha ficha nini sasa?Kwamba hii barua inavujishwa makusudi kuwaambia Mashabiki Azam FC walitakiwa kufanya hivi sio? [emoji2]
Ukweli mnaujua kwamba Wala Azam FC hawakuhitajika kufanya hivi kwasababu ya vipengele vya ule Mkataba havikuwalazimisha kufanya nyie mnavyotaka.
Barua ambazo zinatakiwa kuwa ni Mali na Siri ya taasisi kubwa kama zinavuja tu kama Pakacha.Haya ni Moja ya mambo ya Aibu kwa mwaka 2022.
Ule Mktaba wa Toto naambiwa watu walikuwa nao tu mtaani wanafungia Maandazi Imagine that.Hata Enzi za Mzee Ngozoma Matunda hali haikuwa hivi. Kwanini?
Na nasikia hata Mktaba wa Kalala upo mtaani.Na nasikia upo uchi zaidi kwenye vipengele vya kuuvunja kuliko huu wa Toto
Je, hii ligi waliyoianzisha Utopolo wataiweza?
Na inatoa picha moja kwa moja kuwa sakata la feisal bado bichi na inavyoonesha wauza ukwaju washambeba feitoto,ndio maana uto wanataka kufanya revenge