Wewe ni mjanja sana maana una akili sana kuwazidi viongozi wa yanga aiseeπ€π€Swali la kujiuliza hapo ni Yanga walikuwa wakiwahitaji hao wachezaji toka mwanzo?
Kama jibu ni ndio, basi hakuna shida, lakini kama wamekurupuka ili kulipa kisasi cha Azam kumtaka mchezaji wao, basi utopolo ni washamba sana.
Kuna vitu viwili ninavyoviona hapa....Swali la kujiuliza hapo ni Yanga walikuwa wakiwahitaji hao wachezaji toka mwanzo?
Kama jibu ni ndio, basi hakuna shida, lakini kama wamekurupuka ili kulipa kisasi cha Azam kumtaka mchezaji wao, basi utopolo ni washamba sana.
Uzembe wao wenyewe waliouweka kwenye mkataba wa mchezaji wao, umetumiwa na wajanja walioona gap, wananuna, sasa sijui wanamnunia nani kwa ujinga wao.
Nakuunga mkono kwenye swali lako la awali, Je Yanga walikuwa wanawahitaji hawa Wachezaji?Swali la kujiuliza hapo ni Yanga walikuwa wakiwahitaji hao wachezaji toka mwanzo?
Kama jibu ni ndio, basi hakuna shida, lakini kama wamekurupuka ili kulipa kisasi cha Azam kumtaka mchezaji wao, basi utopolo ni washamba sana.
Uzembe wao wenyewe waliouweka kwenye mkataba wa mchezaji wao, umetumiwa na wajanja walioona gap, wananuna, sasa sijui wanamnunia nani kwa ujinga wao.
Nakubaliana na wewe [emoji817]Kimsingi yanga Wanawafundisha Azam ni namna gani ufanye ukimuhitaji mchezaji wa timu nyingine.
Je, hii ligi waliyoianzisha Utopolo wataiweza?
Na inatoa picha moja kwa moja kuwa sakata la feisal bado bichi na inavyoonesha wauza ukwaju washambeba feitoto,ndio maana uto wanataka kufanya revenge
Viongozi wanaoweka kipengele kwenye mkataba na mchezaji wao kinachowabana wenyewe, kwangu bora timu isiwe na viongozi tu.Wewe ni mjanja sana maana una akili sana kuwazidi viongozi wa yanga aisee[emoji848][emoji848]
Utopolo ngoja tuone wanachokitaka[emoji599]BARUA RASMI YA YANGA KWENDA AZAM JUU YA MAJADILIANO YA UHAMISHO WA JAMES AKAMINKO NA KIPRE JR.
- CEO Andre Mtine kwenye barua hiyo amewaomba Azam wafungue majadiliano ya wao Wananchi kuwanasa nyota hao wawili baada ya tathmini ya kikosi chao na wangependa biashara iishe dirisha hili dogo.
huku Azam wakikiri kupokea barua hiyo.View attachment 2461158
Indeed ila hapa kuna makolo wanacomment upupu kama vile wao ni waelewa kushinda viongozi wote wa YangaKimsingi yanga Wanawafundisha Azam ni namna gani ufanye ukimuhitaji mchezaji wa timu nyingine.
Wewe hukuwahi kuwa na akili, na huenda ni mojawapo ya mbumbumbu wa Rage. Hao ni wachezaji wazuri na ambao timu yoyote inayojielewa ingependa kuwa nao. Katika hali kawaida, kwa sakata la Feisal bila kujalisha ataondoka au atasalia, huturajii kuona Azam na Yanga wakifanya biashara ya wachezaji. Hawa ni watu wanaonyeshana jeuri kuwa kila mmoja ana pesa na wala hakuna biashara hapo.Kuna vitu viwili ninavyoviona hapa....
1. Utopolo wamepanic kwa kujua fika feisal ameondoka ghafla na washabiki wanawasikilizia waone ni nini timu itafanya ili kuziba hilo gap la mchezaji katika timu lakini pia kusawazisha atmosphere ambayo imechafuka kwa sasa.
2. Wana hofu ya kukutwa na aibu kama ile iliyowakuta kwa morrison kwa mashabiki kuudharau uongozi,hivyo wanapambana kuweka sawa saikolojia za mashabiki ambao kwasasa wametulia tuliiiiiii ila jamaa akivalishwa tu jezi ya azam kutakuwa hapatoshi.
Kimsingi mtaji mkubwa wa viongozi wa utopolo ni ujinga wa washabiki wa utopolo.
Watu wameshacheza ngoma uchi huko kisa Feisal amekubali kubaki utopoloni wewe hauna habari!Nakuunga mkono kwenye swali lako la awali, Je Yanga walikuwa wanawahitaji hawa Wachezaji?
Hoja yako kuhusu Feisal bado si rahisi kama unavyodhani. Kama ni Kweli kuna timu imemrubuni basi ijifanganye kupeleka usajili wake TFF bila kuwasiliana na timu yake ya awali halafu uone watakavyokutana na rungu la FIFA. AZAM si wajinga mpaka Leo Hashim Ibwe ameishia kusema hata wao wanamtamani (R) wanamtani Feisal lakini hasemi wamemsajili.
Nakubaliana 100% na sentensi yako ya mwisho kabisa, mashabiki wa utopolo ni wajinga, na ukitaka wakuchukie zaidi, waoneshe ujinga wao!Kuna vitu viwili ninavyoviona hapa....
1. Utopolo wamepanic kwa kujua fika feisal ameondoka ghafla na washabiki wanawasikilizia waone ni nini timu itafanya ili kuziba hilo gap la mchezaji katika timu lakini pia kusawazisha atmosphere ambayo imechafuka kwa sasa.
2. Wana hofu ya kukutwa na aibu kama ile iliyowakuta kwa morrison kwa mashabiki kuudharau uongozi,hivyo wanapambana kuweka sawa saikolojia za mashabiki ambao kwasasa wametulia tuliiiiiii ila jamaa akivalishwa tu jezi ya azam kutakuwa hapatoshi.
Kimsingi mtaji mkubwa wa viongozi wa utopolo ni ujinga wa washabiki wa utopolo.
Na mimi nimeelewa hivyo Mkuu. Wanawafundisha procedures walizotakiwa kufuata. Tunajua fika azam watakataa offers hizo.Kimsingi yanga Wanawafundisha Azam ni namna gani ufanye ukimuhitaji mchezaji wa timu nyingine.