Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Zito hawezi kumpinga mtu wa dini yake. FINAL AND CLEARKwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
View attachment 3399419
Ngoja Tuone Mwisho wake.
Umekata tamaa mapema sana!vyote ni vyama UCHWARA tu vya wachumia TUMBO. hakuna jipya ni kila mtu apambane na hali yake ya kiUCHUMI, hadi atoboe. hakuna atakayemletea mtu CHAKULA mezani. that's all.
Sio Dalali Tu ni tapeliZitto Dalali
Huyu ni mdini hatariKwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
View attachment 3399419
Ngoja Tuone Mwisho wake.
Chumba kimoja usidanganywe na vitasa.Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
View attachment 3399419
Ngoja Tuone Mwisho wake.
Karibu JFChumba kimoja usidanganywe na vitasa.
Huwa akikaa kimya mnamuita CCM B,Dalali,Msaliti n.k.Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
View attachment 3399419
Ngoja Tuone Mwisho wake.
Soma andiko pale juu, mbona limejieleza tu kirahisi!Huwa akikaa kimya mnamuita CCM B,Dalali,Msaliti n.k.
Akianza kurusha mashambulizi mnakoleza wino.Kumbe huwa mnamchokoza ili mpate uhalali wa shutuma zenu.
Kama Lowassa alikuwa fisadi baadae mkakataa sio fisadi.Na Mbowe mliekuwa mnamuita Kamanda mkasema alikuwa anatumika na CCM.
Je tuwaamini lipi katika shutma zenu mnazotoa.Maana mnaonekana hamko sawa kwenye kutuhumu watu.
Na napenda kama una ushahidi wa picha au video ya usaliti wa Zitto ili namimi niunge mkono hoja za usaliti wake.
Soma id yake.Soma andiko pale juu, mbona limejieleza tu kirahisi!
ππππSoma id yake.