Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
drama na porojo ni nonsense pia gentleman šUkiwa ibirisi wa ccm kisha uonje Damu za watu kuteka kuua watu kuwabambikia kesi za uongo unakuwa mwehi ni vigumu ujue kilicho bora
drama na porojo ni nonsense pia gentleman šUkiwa ibirisi wa ccm kisha uonje Damu za watu kuteka kuua watu kuwabambikia kesi za uongo unakuwa mwehi ni vigumu ujue kilicho bora
Kubaliana na reality, huwezi umia, hata kigegeu Kitima sometimes anaujua ukweliUkiwa ibirisi wa ccm kisha uonje Damu za watu kuteka kuua watu kuwabambikia kesi za uongo unakuwa mwehi ni vigumu ujue kilicho bora
Hamna shida tena, na Kuna mradi mkubwa wa maji toka Nyangao mpaka Ruangwa unatekelewaza huko, nilikuwa huko mwishoni mwa mwaka janaNandagala ni Kijiji kimojawapo Wilaya ya Ruangwa km Kama 25 hivi kutoka Ruangwa nilipita hapo 2015 kulikuwa na shida ya maji sana vipi hali hii imebadilika ?
Katelephone kajitahidi sana kupapigania kwao.Hamna shida tena, na Kuna mradi mkubwa wa maji toka Nyangao mpaka Ruangwa unatekelewaza huko, nilikuwa huko mwishoni mwa mwaka jana
Kafanya mambo makubwa sana!! Tunamshukuru mjomba DibroKatelephone kajitahidi sana kupapigania kwao.
Zitto anatetea status-quo, anachowaza now ni ubunge tu basi