GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema

Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!

Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali

Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.

Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.

Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini

View attachment 3399419

Ngoja Tuone Mwisho wake.
Zito kwa sasa ni chawaccm ni ibirisi kama ibirisi wenzake wa ccm, hana jipya kaamua kujitoa fahamu asake kiki za kishamba kwa kuwashambulia chadema baada ya kuona njama zake za kufunga ndoa na ibirisi wa ccm zimejulikana
 
Kwani nani asie jua kua uyo ni CCM B.
KAZI ni kipimo cha utu
Zito ni ibirisi ccm ana kadi ya ccm na sasa anashinda na mbowe wakila njama Lisu afie jela Mbowe afanye kama professor Lipumba arejee chadema kwa njia haramu za kishetani
 
Hii michadema ndo maana Mimi kwa Sasa naitambua kama mipumbavu tu.
Wewe mbweha zuzu juha Akili za kuona mpumbavu umezitoa wapi? Anza kuwa na Akili za kuona kwanza ndipo uongee, Hizo Akili za kushinda Ghetto kwa Zito mkivuta bangi bakini nazo huko huko kwa mazwazwa wenzenu
 
no reform no elections ni nonsense agenda kabisa aise 🐒
Ukiwa ibirisi wa ccm kisha uonje Damu za watu kuteka kuua watu kuwabambikia kesi za uongo unakuwa mwehi ni vigumu ujue kilicho bora
 
ZITTO YUPO SAHIHI SANA, NA WANAOSUSIA UCHAGUZI PIA WAPO SAHIHI, wasishiriki uchaguzi mpaka miujiza ya reform wazotaka zitimie (NRNE), kuwa hai kwa street hadi 2030, bila ruzuku ni existential challenge :CaptFailFish:

View: https://www.youtube.com/shorts/kDBBB33mrp8?t=14&feature=share

ibirisi wa ccm ndiyo analeta uchaguzi wa maigizo kuchezea mabilioni ya walipa kodi wakati matokeo mnayo mifukoni, bora ccm ijitangazie ufalume kabsa kuliko kupoteza pesa kufanya uchaguzi feki bandia wa magumashi
 
Akili ndogo hujadili watu.

Utajisikiaje wakimkosoa namna hii Lissu au kiongozi yeyote unaemkubali wa CDM.

Jifunze kuficha ujinga mbele za watu itakusaidia.
Zito kwa sasa ni mmbea mpika majungu mwimba Taarabu Akili zake baada ya kuvuta bangi zimekuwa kama za kigaila wa chauma ubwabwa
 
🤣🤣🤣
Hy mkuu
Zito ni ndumila kuwili ni kajitu ka hovyo sana ebu fikiria kalisema mbowe alitaka kukuua kwa kumwekea Sumu, Leo sasa kaungana na mbowe na ibirisi wa ccm anataka lisu afie gerezani, Zito atabeba laana za utakeji mauaji na mambo yote haramu ya kishetani toka huko kwenu
 
Sijaijua IQ yako na economical status ,kama umechoka kiuchumi lazima uichukie CCM , but The World is Living Suffering is Your Choice
IQ ya utekaji, kuua wapinzani kuwabambikia kesi za Uongo hiyo ni IQ? au ushetani?
 
ibirisi wa ccm futeni uchaguzi sogeza mbele kwanza ili ccm mpate kutubu, kujiangalia kuzingatia haki za binadamu, kuacha uonevu, na kuokoa mabilioni ya pesa kwenye uchaguzi wa maigizo, uchaguzi feki magumashi wa kuihadaa Dunia kuwa Tanzania nayo ina uchaguzi, Acheni kupoteza pesa nyingi kwa jambo la kuigiza, hizo pesa zielekezwe kwenye maendeleo zijenge barabara mashule hospital huduma za maji na mengineyo mengi ya msingi, ccm acheni vitendo haramu vya kishetani
 
😆😆😆😆
 
Zito kabwe sasa na yeye ni mtekaji ni muuaji wa watu wa chadema ni Adui namba mbili wa chadema, zito ni chawaccm hicho chama chake ni kama chauma ubwabwa hakina lolote la maana zaidi ya majungu fitina na matendo haramu ya kishetani
 
😆😆😆😆
ibirisi wa ccm kwao hujinifaisha kupitia manyanyaso uonevu mateso kwa chadema, mfano sasa wametegea Lisu yupo jela wamefanya biashara na mbowe kuwauzia G55 magalasa na Amos makala kuwasokomeza chauma ubwabwa anakula 10% kila cent inayotoka ccm kwenda chauma ni wizi mpya ni mradi haramu wa kishetani
 
Zito hawezi kumpinga mtu wa dini yake. FINAL AND CL

Zitto Kabwe ameshindwa kupambambana na UKURUTU usoni kwake,🤣🤣🤣 ataweza nini??

Ubunge hatashinda, kupambana na CHADEMA hataweza.

Zitto anza kwanza na UKURUTU kwenye uso wako!! Mengine yote yafuatie!!!🤣🤣🤣🤣

Dawa ya zito ni kumwekea mgombea pale jimboni kwke wa chama cha upinzan.
Na CCM waaiachie majimbo kirahisi maana ubunge ndiyo ajira yenye malshi ya uhakika .Ni uxemge Kuachia jombo liende upinzani halafu musubiri uteuzi wa uDC. Wakati mpaka wakuu wa mikoa wanatafuta ubunge. Mbunge wa CCM pambana unyakuee bunge na kumwangu Zito .
 
Zito ni ndumila kuwili ni kajitu ka hovyo sana ebu fikiria kalisema mbowe alitaka kukuua kwa kumwekea Sumu, Leo sasa kaungana na mbowe na ibirisi wa ccm anataka lisu afie gerezani, Zito atabeba laana za utakeji mauaji na mambo yote haramu ya kishetani toka huko kwenu
Hakuna ulijualo, naona ni stori zilezile za miaka na miaka mlizolishana manyumbu huko. Hivi kina kitila, mollel, nassari nk hawakuhama huko chadema?!!! Mbona wao hamuwachukii Wala kuwasema wakati wapo ccm kabsaaaaaaa?!!!!!!! Mashinji, aliyekuwa katibu wenu mkuu Yuko wapi?!!! Kila siku nyie na zitto tu; acheni upimbi basi.
 
Dawa ya zito ni kumwekea mgombea pale jimboni kwke wa chama cha upinzan.
Na CCM waaiachie majimbo kirahisi maana ubunge ndiyo ajira yenye malshi ya uhakika .Ni uxemge Kuachia jombo liende upinzani halafu musubiri uteuzi wa uDC. Wakati mpaka wakuu wa mikoa wanatafuta ubunge. Mbunge wa CCM pambana unyakuee bunge na kumwangu Zito .
Kweli Zitto nyoko, yaani chadema yote inapanga namna ya kumzuia asipate ubunge na Bado wanashindwa?!!! Lakini kwanini Zitto?!!! Mbona kina nassari nao wapo ila kimya?!!!
 
Back
Top Bottom