Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
🤣🤣🤣Fangasi za kwenye mbupu zomekutafuna mpaka ubongo, omba msaada ccm walusaidie kuzitibu hizo fangasi
Hy mkuu
🤣🤣🤣Fangasi za kwenye mbupu zomekutafuna mpaka ubongo, omba msaada ccm walusaidie kuzitibu hizo fangasi
Basi utakuwa huna akiliHoja ni kwamba mnahangaika sana na Zitto na yeyote anayeenda tofauti na nyie. Mnataka wote tufikiri kwa akili zenu.
Kuua, kuteka, kulawiti, kuiba, haya matukio ndiyo sawa siyo huko kwenye chama chako?no reform no elections ni nonsense agenda kabisa aise 🐒
Huo ndo ukweli, ukiweza ku manage mambo madogo yanayohusu mwenyewe,unaweza kupewa dhamana,kuaminiwa na kupewa kuyasimamia makubwa zaidi, mwambie aanze na kuondoa UKURUTU usoni kwake!!🤔🤔🤔Akili ndogo hujadili watu.
Utajisikiaje wakimkosoa namna hii Lissu au kiongozi yeyote unaemkubali wa CDM.
Jifunze kuficha ujinga mbele za watu itakusaidia.
Ukitumia akili yako uliyoweka katikati ya mifuko bya suruali ya nyuma, utamjua mjanja 🤣🤣🤣🤣sasa nani mjanja aliyeko kwenye ligi uwanjani au anaye jibebisha kwa benchi mpaka mechi ya 2030 na blabla za NRNE?
Huo ndo ukweli, ukiweza mambo madogo, utaweza makubwa, nakujua wewe ni BWABWA, Hina marinda,umepoteza kitambo, mwenye UKURUTU ndo kafumua ndo maana unamtetea, mwambie atoe UKURUTU kwanza usoni kwake, zitto ni mwanasiasa TAPELI tu, ana issue kabisa!!!🤣🤣🤣🤣Umepoteza hoja umeenda kwenye majungu kama mwanamke
Kama Ina akili utakuwa umeelewa vema , mwambie atoe UKURUTU kwanza usoni,then aje kwenye mapambanoNdo think tank la chadema limeongea hapo lenyewe!!😂😂😂
Sijaijua IQ yako na economical status ,kama umechoka kiuchumi lazima uichukie CCM , but The World is Living Suffering is Your ChoiceUkitumia akili yako uliyoweka katikati ya mifuko bya suruali ya nyuma, utamjua mjanja 🤣🤣🤣🤣any way the World is Living Suffering is Your Choice
Hakuna political party itakutoa kwa changamoto ya kiuchumi,Ukitumia akili yako uliyoweka katikati ya mifuko bya suruali ya nyuma, utamjua mjanja 🤣🤣🤣🤣
Changamoto unaandika upumbavu kwa kujiamini.Huo ndo ukweli, ukiweza ku manage mambo madogo yanayohusu mwenyewe,unaweza kupewa dhamana,kuaminiwa na kupewa kuyasimamia makubwa zaidi, mwambie aanze na kuondoa UKURUTU usoni kwake!!🤔🤔🤔
I can see Lack of objectivity 😅😅😅Hakuna political party itakutoa kwa changamoto ya kiuchumi,
Zitto na WEWE wote ni wapuuzi na makahaba wa Siasa 🤣🤣🤣🤣Changamoto unaandika upumbavu kwa kujiamini.
Lakini kumbuka kuna maisha mengine nje ya hizi tofauti za kiitikadi.
Na usijekuumizwa na mtu akimdadavua kimaumbile yule mwanasiasa umpendae.
Anayepambana na Chadema ni wa kumuonea huruma tu. Uzuri saivi wananchi tumeshajua Chama pekee kinachotetea maslahi mapana ya Wananchi ni Chadema.Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema
Na ndiye aliyekuwa anaongozana na Jakaya Kikwete kwenye ziara za Nje ya Nchi (Shangaa wewe), Yaani Zitto akiwa Chadema rafiki yake alikuwa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM!
Mengi yalitokea lakini Hatimaye Chadema ikaishtukia kolabo yao, ikatimua Zitto na Wafuasi wake akiwemo Kitilla Mkumbo, Zitto akaingia kwenye chama alichokianzisha akiwa bado yuko Chadema kwa Msaada wa Kikwete na Watu wa serikali
Kipindi cha Kikwete kikaisha, Zitto akawa tena "Mpinzani" akaanza kupambana na ccm ya Magufuli, akafunguliwa hadi vijikesi uchwara, Watu wakaamini huyu sasa ni Mpinzani wa kweli.
Siku zote Mungu hamfichi Mnafiki, Rafiki wa Zitto Jakaya Kikwete amerudi tena"madarakani" Bwana Zitto ameungana naye tena kuwadanganya Wananchi.
Angalia Hoja za Chadema halafu angalia pia Majibu ya Zitto Kabwe ambaye anatajwa kama kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO Hapo Chini
View attachment 3399419
Ngoja Tuone Mwisho wake.
Nyie ndio wale watu ambao mlienda further studies,lakini mlienda kusomea UJINGA 🤣🤣🤣🤣Sijaijua IQ yako na economical status ,kama umechoka kiuchumi lazima uichukie CCM , but The World is Living Suffering is Your Choice
Asante sana.Zitto na WEWE wote ni wapuuzi na makahaba wa Siasa 🤣🤣🤣🤣
zitto na WEWE wote ni wapuuzi na makahaba wa Siasa 🤣🤣🤣Hiyo Chadema iko wapi, Chama kiko ICU hakuna uwezo hata wa kujikuna, kwisha habari yenu wasalimieni CUF na TLP.
Yaani zitto yeye kama nani awapangie chadema cha kuongea mwenye Ziara,?Kwa Wale wanaokumbuka, Wakati wa Utawala wa Jakaya Kikwete, Zitto Kabwe alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema