DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
hakuna mwanasiasa ambaye siyo mnafiki, ila wanatofautiana kwa scale ya unafikiZito ni mnafiki ndio tatizo lake .
Sio kwamba hajui anachofanya .
Awamu iliyopita ya JPM alijifanya mpinzani kwa sababu ya kulinda maslahi ya mafisdi .
Watanzania wameshajua nani ni mpinzani wa kweli na nani ni mzalendo wa kweli na nani ni dalali katika nchi hii .
Hata ndani ya CCM wapo wazakendo wa kweli wasiofuata maslahi bila kulinda rasilimali za nchi.
Kama zito ni msomi wa uchumi asiyeeweza kusimamia hata bandari ikajiendesha kwa faida badala yake anakuwa dalali wa Wafanyabiashara wa Kiarabu basi hana faida yoyote bora hata Musukuma mwenye Makampuni yake mwenyewe .