GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hiyo ni personal hataki,yale ni maumbile yake,ebu tupia picha yako tuone kama upo sawa asilimia mia
 
Kusema TAKATAKA ndo kushindana na hizo TAKATAKA?!!!!!

Rudi tena shule. Mbona ameongea neno Moja tu mnakuja humu jf kulialia wakati yeye tangu 2013 mmekuwa mkimjadiki Kila siku lakini kamwe hajahangaika nanyi?

Hapo ametaka TAKATAKA zikajisafishe basi, hakuna la zaidi.
 
Ndo think tank la chadema limeongea hapo lenyewe!!😂😂😂
 
Hii michadema ndo maana Mimi kwa Sasa naitambua kama mipumbavu tu.
 
Zitto achana na CDM level nyingine kwa sasa pambana na Baba Levo - kaapa kukugalagaza Ubunge hata kama utalinda kura zako kwa RUNGU.
 
Zitto achana na CDM level nyingine kwa sasa pambana na Baba Levo - kaapa kukugalagaza Ubunge hata kama utalinda kura zako kwa RUNGU.
😆😆😆
 
Angejibu vizuri tu angeeleweka. Kutamka hilo neno ni dhahiri kuwa amekosa hoja ya kujibu. Pamoja na sifa nyingine njema, waha pia hujulikana kwa ubishi. Lakini huwa tunatoa hoja kwa kila tunachopinga. Ila kwa hapa haiko hivyo, kuna cha ziada au ni feki kabisa.
 
Ila zito 🤣🤣🤣
 
He is a failed being, kwa kujibu hivyo anatafuta umaarufu,
 
Kwani upinzani adui wao mkubwa au mpinzani wao mkubwa ni nani??😭
 

CCM wenyewe wanashindwa kucheza mxiki wa Chadema. Sioni ni vipi dalali ataweza....!!
 
no reform no elections ni nonsense agenda kabisa aise 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…