Ratiba CAF champion league 2019/2020: Nani wataingia katika makundi?

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
2,025
Reaction score
1,270


Habari wadau wa JF, kwa kuangalia hii ratiba ya CAF Champion League 2019/2020 unaweza kuzitabiria timu zipi zinazoweza kufikia hatua ya makundi? Je katika hii ratiba, ni mechi baina timu zipi zitakuwa na patashika kubwa na nguo kuchanika?

Nawakilisha.

Ahsante
 
Kamanda, hujaona uhusiano kweli?

Sisi tuliong'olewa tumepoteza haki ya ku comment?

Sawa mkuu naona kama nakuelewa kwa mbali INGAWA swali leo hapa ni kwa kuangalia hii ratiba ya CAF Champion League 2019/2020 unaweza kuzitabiria timu zipi zinazoweza kufikia hatua ya makundi? Je katika hii ratiba, ni mechi baina timu zipi zitakuwa na patashika kubwa na nguo kuchanika?
 
Anapita 1 de Agosto,Horoya,Mamelod,Gormahia,Experence,Raja casablanca,Enyimba,Ahly,Zamalek,Zesco,Petro Angola nawasilisha
 
Samahani Mkuu, sijakuelewa ulichosema hapa.

Ahsante
Yaani mi kwa sasa ni shabiki wa zesco. Na nipo na jamaa zangu wengi tuu ambao tutaishabikia zesco siku hiyo . so tunaomba wao zesco watutumie tu jezi na nyimbo maana mashabiki tupo huku wasisumbuke kuja na mashabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…