Ratiba kesho ni baada ya adhana kazi ianze

Kwani wewe na Mfwele ndiyo wapanga ratiba?
 
Kuna kashkash za kununua petrol nimeziona mtaani. Hata mtu ambaye hajawai kuzungumzia maandamano au siasa. Unabaki mdomo wazi na kuuliza β€œeh mzee! na wewe?” πŸ˜†πŸ˜€
Hahaha subiri nicheke kidogo Njia 4
 
Mbona mambo hayasemwi huko mtaan vituo kadhaa had sasa nasikia vimekula mioto.

Anzisheni uzi wa update ya matukio ya 29. Nilipo mimi vituo vya kupigia kura vimerundikwa kituo cha polisi. Yani ukitaka kupiga kula nenda polis
 
Na. Bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…