Ratiba: Lowassa kuzikwa kwao Monduli tarehe 17/02/2024

Hii ndio Taarifa ya sasa kuhusiana na Msiba huo

Hii ni kwamba Maombolezo ya kitaifa ya siku 5 yataisha kabla hajazikwa.

====

Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa Februari 17, mwaka huu kijijini kwao Ngarash wilayani Monduli Mkoa wa Arusha.

Lowassa amefariki dunia Februari 10, 2024 saa 8 mchana katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango jana, Lowassa alifikishwa katika taasisi hiyo baada ya kuugua shinikizo la damu, matatizo ya mapafu na kujikunja kwa utumbo.

Taarifa kuhusu maziko yake, imetolewa leo Februari 11, 2024 na msemaji binafsi wa Lowassa, Aboubakar Liongo nyumbani kwa mwanasiasa huyo, Masaki jijini Dar es Salaam.

Amesema ratiba rasmi ya mazishi itaanza Februari 13, 2024 itakayohusisha taratibu zote za kiserikali.

"Taarifa zaidi kuhusu mazishi itatolewa baadaye, lakini kwa sasa maziko yatafanyika Ngarash Monduli mkoani Arusha siku ya Jumamosi, Februari 17, 2024 saa 8 mchana," amesema Liongo.

Mwananchi
Mbona hakuna ratiba kwani umeweka taarifa fupi. Uliposema ratiba inahusu muda wa kutoa pole nyumbani kwake, muda wa vinywaji na chakula na tutakaolala matanga kuanzia saa ngapi na muda wa kutoa ubani.
 
Hii ndio Taarifa ya sasa kuhusiana na Msiba huo

Hii ni kwamba Maombolezo ya kitaifa ya siku 5 yataisha kabla hajazikwa.

====

Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa Februari 17, mwaka huu kijijini kwao Ngarash wilayani Monduli Mkoa wa Arusha.

Lowassa amefariki dunia Februari 10, 2024 saa 8 mchana katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango jana, Lowassa alifikishwa katika taasisi hiyo baada ya kuugua shinikizo la damu, matatizo ya mapafu na kujikunja kwa utumbo.

Taarifa kuhusu maziko yake, imetolewa leo Februari 11, 2024 na msemaji binafsi wa Lowassa, Aboubakar Liongo nyumbani kwa mwanasiasa huyo, Masaki jijini Dar es Salaam.

Amesema ratiba rasmi ya mazishi itaanza Februari 13, 2024 itakayohusisha taratibu zote za kiserikali.

"Taarifa zaidi kuhusu mazishi itatolewa baadaye, lakini kwa sasa maziko yatafanyika Ngarash Monduli mkoani Arusha siku ya Jumamosi, Februari 17, 2024 saa 8 mchana," amesema Liongo.

Mwananchi
Abdullah bin Umar (r.a) anasimulia kuwa amemskikia Mtume (s.a.w) akisema �wakati mmoja wenu atakapokufa, msimcheleweshe, bali mzikeni haraka haraka
 
Watu wanatoa ya moyoni,kumbe mpinzani kutangazwa ni mtihani
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-11-14-53-36.png
    Screenshot_2024-02-11-14-53-36.png
    158.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom