Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kuaga kwa sie wa dar lini na wapi ?Mbona hakuna ratiba kwani umeweka taarifa fupi. Uliposema ratiba inahusu muda wa kutoa pole nyumbani kwake, muda wa vinywaji na chakula na tutakaolala matanga kuanzia saa ngapi na muda wa kutoa ubani.
Sio kwamba ushatokea ila zinasubiriwa ratiba zikae sawa kwanza!Kuna dalili unaweza kwisha msiba huu, ukaibuka mwingine ghafla.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ile hospitali ni ya umma, sio mali binafsi. Jina lisikubabaishe. Halafu ktk siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu.kafia kwenye hospitali inayoitwa jakaya kikwete, duh haya maisha bhana, anyway labda walishayamaliza na kumove on sisi ndio tumebakia kuzodoana …
Kila nafsi itaonja umauti, haijalishi muda, umri wala eneo ulipo.Kuna dalili unaweza kwisha msiba huu, ukaibuka mwingine ghafla.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Duh 😇Abdullah bin Umar (r.a) anasimulia kuwa amemskikia Mtume (s.a.w) akisema �wakati mmoja wenu atakapokufa, msimcheleweshe, bali mzikeni haraka haraka
Labda ni yule alieutangaza huu.Kuna dalili unaweza kwisha msiba huu, ukaibuka mwingine ghafla.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Una uhakika bado haujatokea?Kuna dalili unaweza kwisha msiba huu, ukaibuka mwingine ghafla.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
.Labda ni yule alieutangaza huu.
RuksaKuna dalili unaweza kwisha msiba huu, ukaibuka mwingine ghafla.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mbona ht wakati wa JK tuliambiwa yuko Marekani kimatibabu.Kqbla ya mwaka 99 kiongozi akiumwa tulikuwa tunaambiwa na hata maendeleo yake tunafahamishwa... ila kwa sasa mbombo ngafu
Saaana!Sisi mbona tunaendelea tu , hakuna kilichobadilika , tena hiyo tarehe ni nzuri mno kwetu
R.I.P Laigwanan EL
Hii ndio Taarifa ya sasa kuhusiana na Msiba huo
Hii ni kwamba Maombolezo ya kitaifa ya siku 5 yataisha kabla hajazikwa.
====
Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa Februari 17, mwaka huu kijijini kwao Ngarash wilayani Monduli Mkoa wa Arusha.
Lowassa amefariki dunia Februari 10, 2024 saa 8 mchana katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango jana, Lowassa alifikishwa katika taasisi hiyo baada ya kuugua shinikizo la damu, matatizo ya mapafu na kujikunja kwa utumbo.
Taarifa kuhusu maziko yake, imetolewa leo Februari 11, 2024 na msemaji binafsi wa Lowassa, Aboubakar Liongo nyumbani kwa mwanasiasa huyo, Masaki jijini Dar es Salaam.
Amesema ratiba rasmi ya mazishi itaanza Februari 13, 2024 itakayohusisha taratibu zote za kiserikali.
"Taarifa zaidi kuhusu mazishi itatolewa baadaye, lakini kwa sasa maziko yatafanyika Ngarash Monduli mkoani Arusha siku ya Jumamosi, Februari 17, 2024 saa 8 mchana," amesema Liongo.
Mwananchi
Kuna dalili unaweza kwisha msiba huu, ukaibuka mwingine ghafla.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Abdullah bin Umar (r.a) anasimulia kuwa amemskikia Mtume (s.a.w) akisema �wakati mmoja wenu atakapokufa, msimcheleweshe, bali mzikeni haraka haraka
ambapo ni wewe UtakufaKuna dalili unaweza kwisha msiba huu, ukaibuka mwingine ghafla.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mzee Mgaya atakuwepo?Ok
Hata Queen Elizabeth wa UK maombolezo yaliisha kabla ya mazishi
Wewe unaishi Dunia gani?