Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Waziri wa maji majuzi mlitoa ratiba ya mgao wa maji. Ratiba yetu ilikuwa leo tupate.
Kulikoni mpaka muda huu hapaeleweki na ulijifanya kusisitiza kuwa mgao utekelezwe as planned?
Punguzeni janja janja mbele ya camera na uwongo, watanzania siyo wajinga siku hizi.
Kujiuzulu pia ni option.. Kama mlikuwa m najua hakuna consistency kuna haja gani kutoa ratiba za uwongo. Narudia tena uwongo sababu hamjaibadili wala kuomba radhi.
Wizara ya maji na Nishati ni Mzigo kwa kweli. Enzi za Meko ungekuwa ushaaga michuano ww