Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Acha UkabilaAwesu kabila gani?
Mbunye zinatoa harufu kali.Waziri wa maji majuzi mlitoa ratiba ya mgao wa maji. Ratiba yetu ilikuwa leo tupate.
Kulikoni mpaka muda huu hapaeleweki na ulijifanya kusisitiza kuwa mgao utekelezwe as planned??
Punguzeni janja janja mbele ya camera na uwongo, watanzania siyo wajinga siku hizi.
Kujiuzulu pia ni option..
Mh Aweso nakuita tena
Mzigua wa Pangani,TangaAwesu kabila gani?
Ya Kweli hayo mkuu?Kibaha , ilikuwa leo, yalipofika maili moja mtaa wa shule bomba kubwa likapasuka, uko mbele maji hayakwenda kabisa,hadi sasa yapo yanamwagika tu,
Matokeo ya wizi wa kura 2020 yatatuumiza hadi tutakapokutana 2025Waziri wa maji majuzi mlitoa ratiba ya mgao wa maji. Ratiba yetu ilikuwa leo tupate.
Kulikoni mpaka muda huu hapaeleweki na ulijifanya kusisitiza kuwa mgao utekelezwe as planned?
Punguzeni janja janja mbele ya camera na uwongo, watanzania siyo wajinga siku hizi.
Kujiuzulu pia ni option.. Kama mlikuwa m najua hakuna consistency kuna haja gani kutoa ratiba za uwongo. Narudia tena uwongo sababu hamjaibadili wala kuomba radhi.
Wizara ya maji na Nishati ni Mzigo kwa kweli. Enzi za Meko ungekuwa ushaaga michuano ww
Inaelekea hakuna tatizo la maji Dar- mbona vyombo vya habari hawalipi uzito unaostahili. Ratiba ya mgao wa maji inaelekea ilitolewa tu kwenye kompyuta ili kutufariji watumiaji- Dawasa hawana uwezo kwasababu mvua hazijanyesha.Waziri wa maji majuzi mlitoa ratiba ya mgao wa maji. Ratiba yetu ilikuwa leo tupate.
Kulikoni mpaka muda huu hapaeleweki na ulijifanya kusisitiza kuwa mgao utekelezwe as planned?
Punguzeni janja janja mbele ya camera na uwongo, watanzania siyo wajinga siku hizi.
Kujiuzulu pia ni option.. Kama mlikuwa m najua hakuna consistency kuna haja gani kutoa ratiba za uwongo. Narudia tena uwongo sababu hamjaibadili wala kuomba radhi.
Wizara ya maji na Nishati ni Mzigo kwa kweli. Enzi za Meko ungekuwa ushaaga michuano ww
Hata za wanaokuhusu umezitukana, hata ya mama yako umeitukana. Punguza unyanyasaji Kwa watoto wa kike maana ni wazazi wako wengineDuh! Pole sana.
Na joto la Dar es salaam sasa hivi sipati picha,..Mbunye zinatoa harufu kali.
Asante Kwa kuliona hili. Aweso tumshitaki Kwa Samia atuondolee uozoWaziri wa maji majuzi mlitoa ratiba ya mgao wa maji. Ratiba yetu ilikuwa leo tupate.