Tanzania Railways Corp
Govt Institution
- Mar 23, 2018
- 292
- 690
Maana yake haijabadilika ni ile ile.Kwanini hakuna ratiba ya Dar - Dodoma?
Nilikua namsubiri ajibu ili nimtoe nishai..🤣Maana yake haijabadilika ni ile ile.
Duh saa 12 na dakika 29 kweli mko serious.
Options mbona zipo tangu zamani?Bora aisee kuliko kudamka kama mapopo kisa train 🤒
Watasubiri sana kiendacho kwa mganga hakirudi.Kuna mteja analalamika hamjawarudishia pesa yao mlisitisha safari.