Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Tengua kauli yako yakusema nimemjaza mimba,ukweli utachoka mwenyewe na ratiba itajipanga yenyewe automaticaly!!!
Piga 2 mara tatu kwa kutwa utaona ratiba itakavyojipanga yenyewe.
Hakuna formula , kama wote mkiwa na afya tosha mnaweza cheza kila siku. Ila kwa kuwa mwenzio mjamzito hamu yake inaweza pungua pia kwa miezi ya mwanzo unaweza haribu mimba, kuwa makini na acha fujo.
Kwa wiki x3 kwa umri wa ndoa yako ila kama ana mimba changa unaweza kumfanya mhanga wa kuharibu mimba kila mara ikawa tatizo jingine badala ya raha.
Mkifikisha miaka miwili inatakiwa x2 kwa wiki.
Mkifikisha miaka mitano mpaka kumi x1 kwa wiki inatosha sana na pia zingatia siku ambayo mkeo ana nafasi nzuri wiki hiyo ili kumuwekea mazingira ya kufurahia shughuli yenyewe siyo lazima iwe jumamosi tu kama mazoea.
Kuna mengi sana ila kwa leo haya yanatosha.