Ratiba nzuri ya kufanya Mapenzi


AISE, tabu kweli kweli. Ndio faida ya kuoa kitamaa ya ngono na sio kimapenzi. Ukipenda kitu utamani tu mwenyewe bila sababu au kishawishi heheh
 

Sio kweli unaweza kupiga hadi siku ya kuzaa, ila la muhimu ni kufuata ushauri wa Daktari maana kama mtoto ndio kashuka kuelekea sehemu ya kutokea unaweza kumdhuru na hiyo fimbo. Lakini kwasasa bado mimba changa wewe chapa kwa kwenda mbele. Huwa wanawake wenye mimba ni watamu usiombee.
 

Hivi, mwanamke akiwa na mimba changa anapenda sana kufanya mapenzi , kiufupi hamu yake ya kufanya mapenzi inaongezeka zaidi kipindi hiki. Kwaiyo wala husiwe na wasiwasi, fanya tu uwezavo wala hatosema basi, ila atafurahia tu. Na kama haukufanya nae, basi utamchanganya akili na ugomvi utaanza. Hiyo hata vitabuni imeandikwa, nenda kamulize dokta atakuelewesha vizuri. Sababu mwili wa mwanamke una change hata ubongo wake pia unachange.

Ila mimba ikifika miezi 4-5, ile hali ya kupenda kufanya mapenzi mara kwa mara inabadirika kwake. Sababu tumbo linakuwa kubwa na anajiona mzito na mvivu wa kufanya lolote lile, na hata kufanya mapenzi ataona uvivu, tabu na uzito. Vile vile tumbo kubwa linazuia kufanya mapenzi, kwaiyo ataona bora ahache kufanya uwo mchezo, kwanza anaumia mkandamizo. Kwaiyo ukitaka kufanya nae mapenzi uwe mjuzi kweli kweli na uelewe tatizo lake, tena umshawishi kitaalam haswa, kama si hivo utanyimwa kila siku kaka yetu. Hapo ujue kubembeleza, ukifos, umekwisha. Labda ukatafute kismall house, na hiyo ndio itasababishe ndoa yako ife kabisa.

La kufanya: Wajuzi wanasema tumia mda mwingi sana kwa mkeo, wanawake wajawazito ujiskia wapweke sana na uwa na mawazo yasio simulizika. Naskia wanaota ndoto za ajabu ajabu, kuhusu mtoto alie tumboni. Ila hawasimuli mtu. Ukiwa nae shika shika tumbo lake tu, maana pale ndio penye tatizo. Kama kumwambia ebu nikupake mafuta tumboni mke wangu, heheh. Au kumwambia tumbo lake linang`aa na umelipenda. Au unamsaidia kazi za home. Unamfulia mara moja moja, na kumpikia. Ukimshauri apumzike. Mwanamke akiwa mjamzito tumbo kubwa hawezi kuinama, kwaiyo kazi za kuinama home ukimsaidia, itakuwa msaada mkubwa kwake. Hata kama ukaona anaweza kufanya kila kitu na anakukatalia husimsaidie, we msaidie tu na mwambie unamuonelea uruma na hali alio nayo.

Ukimuacha na tumbo, na kazi zote peke yake, na unajifanya hauna time wala muda wa kukaa nae, basi hata yeye atajiskia haumjari kwa vile ana mimba, atakuona ni mtu mbaya, ham na wewe atokuwa nayo, na ugomvi utakuwa hauishi, na mwisho kuchukiana. Kwaiyo hata akizaa ile chuki kwako itakuwepo, wala hato kuamini na wala hato kupenda tena kama zamani. Hiyo ndio ratiba ya maisha ya ndoa.
 


MITINDO YA KUFANYA MAPENZI NA MWANAMKE MJAMZITO. Dokta anaweza kushauri. Kama mnaona aibu kuliza, basi mitandao ya kingereza ukiandika tu, Sex and Pregnancy: How to Make Love to a Pregnant Woman. Basi utakuwa mtaalam na mkeo atafurahia utaalam wako, heheh.

Wanawake wa kiswaili wanajua mitindo mitatu tu wakiwa wajawazito, NNALEA, KACHUME MBOGA NA PANDA FARASI basi HEHEH
 

hahahaaa mitindo mitatu tu mwe!!
 

ushauri wako ni muhimu sana na nimeupenda maana hata mm wife wangu ana mimba ya miezi mitatu...thanks lot bro...
 
Mpige bao sita kwa wiki!

  1. Ijumaa unampiga bao moja usiku na la pili alfajir mkiamka
  2. Jumamosi unampiga bap moja wakati unaenda kulala na jingine moja alfajir!
  3. Jumapili mnapumzika
  4. Jumatatu manpunzika
  5. Jumanne unampiga bao mbili (moja usiku moja alfajiri manapoamka)
Ukiona bapo moja halikutosho usiku muunganishie mwaili, ila asubuhi yake usim-mege!! Hakikiasha unampagawisha kila siku kwa romance za nguvu, siyo kukimbilia kula mzigo tu! Mke wako usimuonee aibu, mkiwa kutandani fanya michezo yote unayoiweza, mfanye asikie raha kulala na wewe!

USILALE BILA KUMPANDISHA NYEGE...hat ausipomtia wewe mchezee sana tu hadi alowane

Ndoa njema
 
Kaka piga wakati huu wa ujana maana uzeeni fainali hayo utayaona
 
Kuna mada zinapata wachangiaji wa kutosha......BIG UP NGONO GREAT THINKERS
 
Hizo ratba sijui mara moja kwa wiki mbili ...ni kwa mkeo tuuu ama na kwa vimada ni hivyo hivyo?.....sijakuelewa
 
hahahahahahahahahaha mkuuu umeua mkuuu hahhahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…