Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Ndio maana mwanamke nikamweka mwanzoSo really, ila ya mwanaume inaletwa na hayo na usingizio ya mwanamke! You have summarized matatizo ya kuvunjika ndoa in few lines!
Ndio maana mwanamke nikamweka mwanzo
Pepo la masumbuko ndilo limtesaloDaah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.
Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala! Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Hi uki print lazima ilete badiliko, ina upako kuliko maji ya upako ya MwamposaHii ni zaidi ya ma seminar elfu 40 Ya kijinga jinga wanayoenda wake zetu, hii na print naiwekea frame naweka pembeni ya dressing table leo nikitoka tu kazini!
Isipoleta mabadiliko kwa kweli ninaelekea kuoa tena ndugu zangu!
Hapo kwenye kujua hana mchepuko kuwa makini sana mkuu. Hawa viumbe sio kbisa katika kuficha issue zao wakiamua. All in all furaha ya mtu ipo kwa mtu mwenywe sijawahi kusikia mtu anapata furaha kwa mwanamke labda ya mda tu so kama vipi tafuta sehemu ya kupata furaha yako life lenywe ni fupi ili.Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.
Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala! Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Wengi ukiona mtu anaanza kukesha bar na ku-spend muda mwingi na washikaji / Mara UEFA or Europa.
Hapo anakimbia kelele za mwanamke nyumbani!
Bra...
Hi uki print lazuma ilete badiliko, ina uoako kuliko maji ya upako ya Mwamposa
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.
Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala! Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
ndoa ya babu onyango hii wa Simba
mama wa CHADEMA hujambo? vipi Lissu ana sera gani uliingia barabarani?mwenzenu huyoooooo kula bata ughaibuni mngeachwa vilema bora hamkuingia roadAsante kungwi Bujibuji