Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,615
hahahahhaa nimecheka maana hata mimi jana nimefanya hivyo,.sina mchepuko lakini kuna muda jamani unachoka hata hamu ya ku do huna inabidi ulale tuu saa moja jioni kukwepa hekaheka.Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.
Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!
Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.
Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!
Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Ni dalili za kuwa na mchepuko 100%....lakini jifariji tu mkuuDaah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.
Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!
Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Jumapili mlikumbuka kutubu kanisani maana dhambi ya wizi ni amri ya saba katika amri kumi za Mungu.mama wa chadema hujambo? vipi lissu ana sera gani uliingia barabarani?mwenzenu huyoooooo kula bata ughaibuni mngeachwa vilema borra hamkuingia road
Daah! yaani huwa sikuhizi nikukumbuka wewe na erythrocyte nacheka kwa dharau, maana mlivyokuwa na uhakika wa kuingia ikulu yaani mnaimani kali sana nyie watu mnatamani kwenda mbinguni lakini hamtaki kufa mnategemea kwenda kwa motokaa eee?Jumapili mlikumbuka kutubu kanisani maana dhambi ya wizi ni amri ya saba katika amri kumi za Mungu.
Nilidhani napitia haya peke angu kumbe tupo wengi, wife anafanya kazi sehemu moja na kazi yake sio ya mihangaiko kabisa ila neno nimechoka, usiniguse nataka kulala limekua wimbo ndani, kisirani mda mwingi makasirikio, Yaani dah! kazini pa moto nyumbani pa moto yaani inafikia muda sijui maamuzi gani nichukue.Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.
Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!
Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Haha haha hahandoa ya babu onyango hii wa simba
Watu wamevurugwa na matatizoHahaha sijui kwanini maji ya Mwamposa yabebeshwa uzembe wa makusudi 😁😁
Watu wamevurugwa na matatizo
Umeoa mfanya kazi mzee anachoka pia mvumilie si mnasaidiana life?Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.
Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!
Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Umeoa mfanya kazi mzee anachoka pia mvumilie si mnasaidiana life?
Mii natafuta asie na kazi kusaidiwa majukumu ndani sitaki
Hii kujifariji kwamba hana mchepuko ndio imesaidia ndoa yangu imeendelea kuwa yenye furaha, amani na upendo zaidi ya miaka 10 sasa. Kama anae basi atakua anafanya kwa siri sana na ananitunzia heshima, kwangu hiyo inatosha. Sema nini mi mwenyewe pia sijakaa kizembe.ni dalili za kuwa na mchepuko 100%....lakini jifariji tu mkuu
Uwanaume upo wapi sasa hapo?Nilidhan napitia haya peke angu kumbe tupo wengi, wife anafanya kazi sehemu moja n kazi yake sio ya mihangaiko kabisa ila neno nimechoka, usiniguse nataka kulala limekua wimbo ndani, kisirani mda mwingi makasirikio, Yaani dah kazini pa moto nyumban pa moto yaaan inafikia mda sijui maamuzi gani nichukue.
Mkuu inamaanisha hao jinsi walivyobize hivyo , hawana kazi za kufanya , sasa wanapataje pesa, hasa mwanaume ?Wanawake:-
Jumatatu- kichwa kinauma
Jumanne- nilikuwa bize nimechoka Sana
Jumatano- Nina blidi
Alhamis- Nina blidi
Ijumaa- Nina blidi
Jumamosi- Nina blidi
Jumapili- naumwa kiuno siwezi hata kugeuka
Jumatatu- kicwa kinaniuma
Jumanne- nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote unauma, nimepaka diclopa haijasaidia
Jumatano- Nina stress ya vicoba
Alhamis- Nina stress ya rejesho saccos
Ijumaa- mama yako kanipigia simu kanigombeza
Jumamoso- naenda kitchen party ntarudi nimechoka.
Wanaume:-
Jumatatu- Bar na washikaji Hadi alfajiri
Jumanne- Bar na washikaji Hadi alfajiri sikusikilizi huna sera
Jumatano- UEFA Champions League Hadi saa tisa
Alhamis- Europa
Ijumaa- Live band Hadi asubuhi
Jumamosi- asubuhi supu na washikaji.... Mchana nyama choma na washikaji... Jioni bia na washikaji Hadi majogoo
Jumapili- bia na washikaji Hadi usiku wa manane
Jumatatu- kwa demu mpya Hadi saa tisa usiku
Jumanne- sms ya mchepuko imekutwa kwenye simu yako, umechuniwa na kununiwa miezi miwili mkeo anagongwa nje anapata mimba, mwezi wa tatu mnaelewana, mwezi wa nne unagundua mkeo ana mimba kubwa sio yako, mnagombana, unamtimua na ndoa imekufa
hahahahhaa nimecheka maana hata mm jana nimefanya hivyo,.sina mchepuko lakini kuna muda jamani unachoka hata hamu ya ku do huna inabidi ulale tuu saa moja jioni kukwepa hekaheka,..
mama wa chadema hujambo? vipi lissu ana sera gani uliingia barabarani?mwenzenu huyoooooo kula bata ughaibuni mngeachwa vilema borra hamkuingia road
Miracle MoneyMkuu inamaanisha hao jinsi walivyobize hivyo , hawana kazi za kufanya , sasa wanapataje pesa, hasa mwanaume ?
Umeoa mfanya kazi mzee anachoka pia mvumilie si mnasaidiana life?
Mii natafuta asie na kazi kusaidiwa majukumu ndani sitaki
kweli kupanga ndo kuchaguaWanawake:-
Jumatatu- kichwa kinauma
Jumanne- nilikuwa bize nimechoka Sana
Jumatano- Nina blidi
Alhamis- Nina blidi
Ijumaa- Nina blidi
Jumamosi- Nina blidi
Jumapili- naumwa kiuno siwezi hata kugeuka
Jumatatu- kicwa kinaniuma
Jumanne- nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote unauma, nimepaka diclopa haijasaidia
Jumatano- Nina stress ya vicoba
Alhamis- Nina stress ya rejesho saccos
Ijumaa- mama yako kanipigia simu kanigombeza
Jumamoso- naenda kitchen party ntarudi nimechoka.
Wanaume:-
Jumatatu- Bar na washikaji Hadi alfajiri
Jumanne- Bar na washikaji Hadi alfajiri sikusikilizi huna sera
Jumatano- UEFA Champions League Hadi saa tisa
Alhamis- Europa
Ijumaa- Live band Hadi asubuhi
Jumamosi- asubuhi supu na washikaji.... Mchana nyama choma na washikaji... Jioni bia na washikaji Hadi majogoo
Jumapili- bia na washikaji Hadi usiku wa manane
Jumatatu- kwa demu mpya Hadi saa tisa usiku
Jumanne- sms ya mchepuko imekutwa kwenye simu yako, umechuniwa na kununiwa miezi miwili mkeo anagongwa nje anapata mimba, mwezi wa tatu mnaelewana, mwezi wa nne unagundua mkeo ana mimba kubwa sio yako, mnagombana, unamtimua na ndoa imekufa
Ndugu yangu, inafikia hatua napata hasira naenda kulala kwenye kochi kumwachia kitanda kizima, sijui nakwama wapi ama ye amechoka haya mahusianoUwanaume upo wapi sasa hapo?
Mtu anakumbia usiniguse ni wanini sasa huyo au hana kwao?