Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako


[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

JF never boring
 

Vile wanaume mnavurugikaga hapo anakunyimaje buana, labda uniambie amejua vimchepuko vyako vikamkata stim. Maana wanawake sisi akili zetu anazijua Mungu tuu. Wakati mwingine hata sisi wenyewe hatujielewagiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Haswaaa....
 
We jamaa kwa akili zako ungekuwa mambele kama US usingekosa kitengo pale NSA[emoji23]
 
hahahahhaa nimecheka maana hata mm jana nimefanya hivyo,.sina mchepuko lakini kuna muda jamani unachoka hata hamu ya ku do huna inabidi ulale tuu saa moja jioni kukwepa hekaheka,..

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]to most men sex is a need to you it’s just a want
 
hicho ni kitu muhimu sana ili tujue hicho hakinyimwagi mume😁😁😁

Kaujumbe nimekaelewa hakoπŸ‘†
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dah! Mi sijapewa miezi miwili sasa,sijui nakwama wapi....miaka ya mwanzo nilikuwa napewaa siku zote 320+ kwa mwaka,( ondoa zile siku maalumu za kila mwezi,tena baada ya kumaliza alikuwa anapenda ilale " umo umo",yaan mnalala ikiwa ndani,

Sasa hivi hata miezi mitatu inafika sijapewa,namimi sijali wala nini,atajua mwenyewe.pia majukumu yamekuwa mengi ,nguvu nyingi tunaelekeza huko,

Muda mwingine maisha ya ndoa huwa matamu kama unayaacha yaende kama yalivyo.

Kwa upande mwingine hana tatizo,maisha yanakwenda vizuri tu.
 
M Jino bila ganzi hio πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Muda mwingine maisha ya ndoa huwa matamu kama unayaacha yaende kama yalivyo.
Naunga mkono kabisa. Kuna wakati unaona bora kuepusha shari tuu maisha yasonge kwani nini bana? Kinyume na hapo itakua ni ugomvi kila siku usio na kichwa wala miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…