JPM kwa miundombinu amewapiku maraisi woote waliowahi kuongoza TZ ila naye amefeli sana kwenye demokrasia kuliko maraisi wote
Hao wanaofungua nyuzi kulalamika wapo Duniani kote, Hata ungefanya Nini wangebaki kulalamika, kwani hujawaona wanaofungua nyuzi kila siku kupinga ununuzi wa Ndege??Anyway poa maana sina uwezo wa kuthibisha haya yote, mambo kama sijui eti hamuibiwi dhahabu, makinikia, Tanzanite, au revivals za mashirika kama TRC sijui umetumia data zipi za kuonyesha tofauti ya then na sasa hivi, au hata panton alizotaja mwenzio hapo chini.
Lakini kikubwa ni weka comparative analysis ya haya yote kwa miaka ya Kikwete na kwa miaka ya JPM ndio ziwe quantifiable. Maana kuna nyuzi nyingi zinafunguliwa humu na Watanzania full vilio kila siku na hawaonekani kuona chochote kati yote uliyotaja.
Halafu nijuavyo ucchaguzi wenu mtaufanya 2020 na hapa tulipo tayari mwaka wa 2018 tunaupa kisogo, hivyo 2019 ndio itabidi muongeze kasi walau mpate mapicha ya miradi ya kutafutia kura.
Hata katika miundombinu amefeli.JPM kwa miundombinu amewapiku maraisi woote waliowahi kuongoza TZ ila naye amefeli sana kwenye demokrasia kuliko maraisi wote
Unalinganisha Chuwi na Simba, Kikwete alikuwa zama zingine na Magufuli yuko zama tofauti. Linganisha Kikwete na Kibaki au Magufuli na Kenyatta kupata picha kili.
Hivi PM kahamia kweli?Umesahau December 2018 kuhamia dodoma
Hope these are not cooked data. Wajuzi wa mambo leteni figures za bongoInabidi tumliganishe JPM na Kikwete, mtaje kila mtakachosema mafanikio yake alikikuta vipi na sasa kiko vipi maana JPM bado hajafikia level ya kulinganishwa na rais yeyote Kenya, hata kwa Uhuru pekee yake hajafika robo ya mafanikio ya rais Uhuru. Hebu mnitajie mradi mmoja mkubwa ambao alianzisha na kukamilisha hadi unaonekana na kutumika, mojawapo wa taaluma zangu ni projects management na muulize PM yeyote, kama kuna kitu kigumu kwenye mradi wowote, ni kufikisha hatima ya mradi na kuona ulichokitengeneza kinatumika kabisa.
Ukiangalia rais Uhuru kwenye awamu ya kwanza pekee yake alikua amekamilisha bonge la reli ya SGR ambayo urefu wake wa kilomita 500 ni zaidi ya mara mbili ya hako kasafu ka JPM kanachomuuma akili ka umbali wa kilomita 200, ambako hadi leo hii ni mapicha mapicha tu ya kwenye mitandao, siku kakizinduliwa na kutumika na treni moja ndio mje kuongea.
Kuna mifano mingi sana ambayo naweza nikakutajia jinsi Uhuru alizipata na yeye akaongeza zikafikia level gani
Nikutajie tu chache, wakati anaingia madarakani alikuta shule 8,000 pekee ndio zilikua zimeunga kwenye umeme, alikamilisha hatamu ya kwanza kama zimefikia 20,450
Wakenya 2.3m walikua na umeme, wakati huo akafikisha 4.1m
Umeme ulikua 1,660 megawatts yeye kaongeza 600 megawatts
Kakuta 2,200km of transmission lines na kuongeza 700km
Hapo sijataja barabara, bandari na mengine makubwa....
Mk54 akikujibu nitagMwaka umesalia mmoja nani kakuambia? JPM ndio ana 2.5 years in office na miradi aliyoianzisha mpaka ikamilike ni 3+ years hapo nimeongelea miradi mikubwa
Projects nyingine alizokamilisha ni
[emoji432] No more mikataba ya kinyonyaji kwenye madini yetu
[emoji436] Ununuzi ya CT scans and MRIs
[emoji574] Ununuzi ndege 7
[emoji428] Elimu bure
[emoji541] Ujenzi wa hospitals (30>)
[emoji913] Ujenzi wa hostels (4>)
[emoji616] Ujenzi wa barabara (5,000 kilometers)
[emoji563] Ujenzi wa madaraja makubwa (JPM Bridge /Kilombero Bridge)
[emoji436] Ujenzi wa school laboratories kila sec school plus lab apparatuses
[emoji985] Kumaliza tatizo la wanafunzi kukaa chini shuleni
[emoji381] Kumaliza tatizo la madawa hospitals
[emoji298] Umeme vijijini nchi nzima, connection charges ni 24,000 TSH
[emoji383] Monthly revenue collection from 850B to 1.3T
[emoji592] Zaidi ya magari 700 hardtop for ambulances [emoji603], medical supplies vehicles, magari waratibu wa elimu nchi nzima etc
[emoji774] Serikali kuhamia Dodoma
[emoji336] TTCL revival
[emoji579] TRC revival
[emoji924] TPA revival
[emoji908] Tanzania National Park revival
🥇 Hatuibiwi tena dhahabu yetu
[emoji184] Hatuibiwi tena Tanzanite yetu
Eti tunatoshana at 1350MW na vile dar generators zimejaa juu ya power outages/ rationing.Haha kila siku kuota Kenya. LMAO umecheki installed power capacity ya Kenya according to these ignoramuses? [emoji23][emoji23][emoji23]
Bro ebu tumia akili nshasema ili umlinganishe JPM na kikwete inabidi usubiri magufuri amalize mpaka 2025 apo ndo utakuws fea ila kumlinganisha mtu aliyetawala mika 10 na wa miaka 2.6 sio sawa pia kumringanisha JPM na kenyata itabidi usubiri 2020 maana uliyoyataja kenyatta aliyafanya kwa miaka mitano(2013-2017)Inabidi tumliganishe JPM na Kikwete, mtaje kila mtakachosema mafanikio yake alikikuta vipi na sasa kiko vipi maana JPM bado hajafikia level ya kulinganishwa na rais yeyote Kenya, hata kwa Uhuru pekee yake hajafika robo ya mafanikio ya rais Uhuru. Hebu mnitajie mradi mmoja mkubwa ambao alianzisha na kukamilisha hadi unaonekana na kutumika, mojawapo wa taaluma zangu ni projects management na muulize PM yeyote, kama kuna kitu kigumu kwenye mradi wowote, ni kufikisha hatima ya mradi na kuona ulichokitengeneza kinatumika kabisa.
Ukiangalia rais Uhuru kwenye awamu ya kwanza pekee yake alikua amekamilisha bonge la reli ya SGR ambayo urefu wake wa kilomita 500 ni zaidi ya mara mbili ya hako kasafu ka JPM kanachomuuma akili ka umbali wa kilomita 200, ambako hadi leo hii ni mapicha mapicha tu ya kwenye mitandao, siku kakizinduliwa na kutumika na treni moja ndio mje kuongea.
Kuna mifano mingi sana ambayo naweza nikakutajia jinsi Uhuru alizipata na yeye akaongeza zikafikia level gani
Nikutajie tu chache, wakati anaingia madarakani alikuta shule 8,000 pekee ndio zilikua zimeunga kwenye umeme, alikamilisha hatamu ya kwanza kama zimefikia 20,450
Wakenya 2.3m walikua na umeme, wakati huo akafikisha 4.1m
Umeme ulikua 1,660 megawatts yeye kaongeza 600 megawatts
Kakuta 2,200km of transmission lines na kuongeza 700km
Hapo sijataja barabara, bandari na mengine makubwa....
Haha, nacheka kwasababu ni Uhuru Kenyatta mwenywe ndio anapanda majukwaani na kusema atafanya kazi kama JPM.Inabidi tumliganishe JPM na Kikwete, mtaje kila mtakachosema mafanikio yake alikikuta vipi na sasa kiko vipi maana JPM bado hajafikia level ya kulinganishwa na rais yeyote Kenya, hata kwa Uhuru pekee yake hajafika robo ya mafanikio ya rais Uhuru. Hebu mnitajie mradi mmoja mkubwa ambao alianzisha na kukamilisha hadi unaonekana na kutumika, mojawapo wa taaluma zangu ni projects management na muulize PM yeyote, kama kuna kitu kigumu kwenye mradi wowote, ni kufikisha hatima ya mradi na kuona ulichokitengeneza kinatumika kabisa.
Ukiangalia rais Uhuru kwenye awamu ya kwanza pekee yake alikua amekamilisha bonge la reli ya SGR ambayo urefu wake wa kilomita 500 ni zaidi ya mara mbili ya hako kasafu ka JPM kanachomuuma akili ka umbali wa kilomita 200, ambako hadi leo hii ni mapicha mapicha tu ya kwenye mitandao, siku kakizinduliwa na kutumika na treni moja ndio mje kuongea.
Kuna mifano mingi sana ambayo naweza nikakutajia jinsi Uhuru alizipata na yeye akaongeza zikafikia level gani
Nikutajie tu chache, wakati anaingia madarakani alikuta shule 8,000 pekee ndio zilikua zimeunga kwenye umeme, alikamilisha hatamu ya kwanza kama zimefikia 20,450
Wakenya 2.3m walikua na umeme, wakati huo akafikisha 4.1m
Umeme ulikua 1,660 megawatts yeye kaongeza 600 megawatts
Kakuta 2,200km of transmission lines na kuongeza 700km
Hapo sijataja barabara, bandari na mengine makubwa....
Haha, nacheka kwasababu ni Uhuru Kenyatta mwenywe ndio anapanda majukwaani na kusema atafanya kazi kama JPM.
Uhuru miaka 6, JPM 2½ halafu unataka kiwalimgamisha. 43% ya watoto walio kuwa wana shindwa kwenda shule za msingi kwa kikosa ada, leo wanaenda shule. Upande wa sekondari hiyo ni 10%.
Umeme unakusudiwa kufika zaidi ya ya 3500MW ndani ya miaka miwili. Bandari inachimbuliwa hivi sasa, leo hii reli za meter gauge ambazo hazijatumika kwa takriban 30yrs zimefufuka na zingine zinakarabatiwa. Wafanyakazi hewa 19,000, wakurugenzi wa mashirika mishahara imepumguzwa, ufufuaji wa mashirika makuu ya usafiri na mawasliamo. Zowezi zima la rushwa, kubwa na ndogo, rada za ndege za abiria nchi nzima, mikoa 7 inajengewa wodi maalum ya watoto wachanga. Vituo 12 vya ukusanyaji damu nchini, vitanda mahospitalini, bado sijagusia hospitali za rufaa zinazo jengwa mpya. Upande wa mageuzi ya kimfumo, mabenki, mashirika ya umma, tawala za mikoa, kuhamia Dodoma, ukusanjaji wa kodi, hati za viwanja, mabadiliko ya sheria za madini, kukaa chini na kujadilia na wachimbaji wa madini wakubwa. Yote hii ni ndani ya miaka 2½, na wala sijaweka vitu ambayo JPM amerithi kutoka serikali ya Kikwete.
Anyway poa maana sina uwezo wa kuthibisha haya yote, mambo kama sijui eti hamuibiwi dhahabu, makinikia, Tanzanite, au revivals za mashirika kama TRC sijui umetumia data zipi za kuonyesha tofauti ya then na sasa hivi, au hata panton alizotaja mwenzio hapo chini.
Lakini kikubwa ni weka comparative analysis ya haya yote kwa miaka ya Kikwete na kwa miaka ya JPM ndio ziwe quantifiable. Maana kuna nyuzi nyingi zinafunguliwa humu na Watanzania full vilio kila siku na hawaonekani kuona chochote kati yote uliyotaja.
Halafu nijuavyo ucchaguzi wenu mtaufanya 2020 na hapa tulipo tayari mwaka wa 2018 tunaupa kisogo, hivyo 2019 ndio itabidi muongeze kasi walau mpate mapicha ya miradi ya kutafutia kura.
Mkuu umesahau kusema hizo Trekta ni Made in Tanzania.Mambo yameshaanza tarayari. Hii ilikuwa ratiba ya jana.