Ratiba ya Azam Sports Federation Cup hii hapa

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Ratiba ya hatua za awali za michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) imetoka hii leo.

Mshindi wa kombe hilo la FA hupata nafasi ya kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Africa hapo mwakani.

Ratiba hiyo inayoanza hapo kesho Novemba 2 bingwa mtetezi wa michuano hiyo ni klabu ya Simba SC ambayo imelitwaa baada ya kuifunga Mbao FC mabao 2-1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…