mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Nikajipange tena nyumbani kwa ajili ya ratiba ya chakula hapo sio kweliKama hata kupangilia chakula chako mwenyew huwez jomba rud nyumban kajipange upya.
Umenigusa mkuuAsubuhi
Ugali dona na dagaa kauzu
Mchana
NIL
jioni a.k.a usiku
Wali ndondo
NB: ndondo nunua kwa mama ntilie jero tu man life goes on.