GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tupa hapa kinondoni karibu na ubalozi wa india wa zamani, tulishahama huko Masaki
Mkuu unauliza makofi kituo cha polisi?Sawa vipi Nyama ni nyingi au za Kubania sana?
Kufa kufaana kwa kweli. Nipo makumbusho ngoja nisogee eneo la tukio.
Kuna kijiji fulani ulitokea msiba, ikapikwa Kande,wanakijiji wakagombea balaa, baadae yakatolewa masinia ya ubwabwa nyama, watu walitamani kutapika
Ha ha ha ha ha ha ha.....Mkuu umezitesa mno Mbavu zangu kwa Kicheko.
Dah... Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kijiji fulani ulitokea msiba, ikapikwa Kande,wanakijiji wakagombea balaa, baadae yakatolewa masinia ya ubwabwa nyama, watu walitamani kutapika
Wee jamaa weweeKuna kijiji fulani ulitokea msiba, ikapikwa Kande,wanakijiji wakagombea balaa, baadae yakatolewa masinia ya ubwabwa nyama, watu walitamani kutapika
Sababu za kuondoa msiba masaki ni zipi?naomba kufahamu