Ratiba ya EPL kwa Msimu wa 2015-16 imetoka leo

Ratiba ya EPL kwa Msimu wa 2015-16 imetoka leo

game zenu za away ni ngumu balaa, kuna stoke, arsenal, man u na city

Nimeziona Mkuu.. Yaani nimeshapoteza matumaini kabla ya hata kufika huko.. Tatizo tuna kocha ambae ni mzuri kwa timu za kawaida (yaani kama Tottenham, Swansea etc) lakini kwa Livepool hafai.. Liverpool ni timu kubwa sana Ulaya na wengi hawalijui hili..
 
Back
Top Bottom