Ratiba ya hatua ya makundi ya UEFA champions league

kwa hyo hapa ndio umerekebisha. aisee tuna safar ndefu TZ ngoja Kenya waendelee kujitangaza kimataifa. kaaazi kweli kweli. Nafikir mwalimu wako alisahau kukufundisha matumizi ya herufi H

Huyu naweza kusema anadhihirisha mzizi wa tatizo letu kama nchi katika uelewa na matumizi ya lugha tunayojivunia, lakini pia namna tunavyokitangaza Kiswahili kimataifa. Wakenya nje ya Tanzania ndiyo wanafahamika kuwa wazuri kwa Kiswahili. Wao ndiyo wanafundisha Kiswahili huko, na wanapewa tenda za kutafsiri maandiko mengi Ulaya na kwingineko. Sisi tunasema Kiswahili kinazungumzwa na kutumiwa kwa ufasaha sana Tanzania lakini watu wetu wengi wakati mwingine hawakizungumzi au kukitumia kwa ufasaha. Mfano mmojawapo ni huyu jamaa.
 
Uzur umeelewa usiwe kama mtoto kwani unilazmish kuandika unwvyotaka japo kimatamshi umetamka sawa
 
Reactions: PNC
Uzur umeelewa usiwe kama mtoto kwani unilazmish kuandika unwvyotaka japo kimatamshi umetamka sawa
Mchezo huu hauhitaj hasira

au nawe hutak kosolewa kama yule mtukufu asiyejaribiwa[emoji1]

 
Leicester kapata kundi jepesi
Wale Club brugge msimu uliopita walimtoa West ham na mwaka huu mtoano katolewa west ham kafungwa nyumbani goli moja baada ya sale kule Uefa msiizungumzie hivyo Timu hazieleweki wale Psv msimu uliopita Atretico alipita kwa matuta msimu huu wamerudishwa kundi moja angalieni mpira na kumbu kumbu muweke itawasadia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…