kwa hyo hapa ndio umerekebisha. aisee tuna safar ndefu TZ ngoja Kenya waendelee kujitangaza kimataifa. kaaazi kweli kweli. Nafikir mwalimu wako alisahau kukufundisha matumizi ya herufi H
Huyu naweza kusema anadhihirisha mzizi wa tatizo letu kama nchi katika uelewa na matumizi ya lugha tunayojivunia, lakini pia namna tunavyokitangaza Kiswahili kimataifa. Wakenya nje ya Tanzania ndiyo wanafahamika kuwa wazuri kwa Kiswahili. Wao ndiyo wanafundisha Kiswahili huko, na wanapewa tenda za kutafsiri maandiko mengi Ulaya na kwingineko. Sisi tunasema Kiswahili kinazungumzwa na kutumiwa kwa ufasaha sana Tanzania lakini watu wetu wengi wakati mwingine hawakizungumzi au kukitumia kwa ufasaha. Mfano mmojawapo ni huyu jamaa.