Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Party ya kusadikika.Hii party inazidi kunoga kadri muda unavyoenda!...wish siku ifike[emoji126] [emoji126]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Party ya kusadikika.Hii party inazidi kunoga kadri muda unavyoenda!...wish siku ifike[emoji126] [emoji126]
Kwanini unasema ni party ya kusadikika????Party ya kusadikika.
Mie tena LazimaaaMe too wifi
Nakupenda kuliko maelezo wifi yangu.
Uje tupige soga siku hiyo
Party ya kusadikika.
Yeah yeah...naisubiri kwa hamu!Ushamaliza maandalizi ya Party?
AbeeMwanahawa Hassan
Yeah yeah...naisubiri kwa hamu!
Watoaji wenyewe wachache mkuu. Tunatumia FIFO kwenye hilinafas chache, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nafasi ngapi maana Mimi Na ndugu zangu tunauhitajiAnaetaka lift GO & RETURN siku hiyo anyooshe kidole 😎
Shawishika sasa utupie mchangoInashawishi
Unataka bodyguard wakunyumba?Ngoja nitafute wa kuja nae mwaya
Jimalize baba.Matapeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahitaji huo msaada tafadhali Mzigua90Nafasi ngapi maana Mimi Na ndugu zangu tunauhitaji
Mambo ni hiviiii.. Wale wenye kijiba wasubiri tu feedback party ilivyofana
hebu nendeni najua picha zitarushwa humu sisi wengine tutafaidi kwa mbaliHii party inazidi kunoga kadri muda unavyoenda!...wish siku ifike[emoji126] [emoji126]
Huwezi kuwa Mwanahawa halafu tena uka Mkatoliki. hakuna kitu kama hicho. sio namba zako hizo, ni namba za mtu ambaye mmemuamini kupokea michango hiyoAbee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....twende wote bana! Tukiwa wote itanoga remember ' cluck cluck' in SA last year [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji126]Nasubiri story ukitoka huko ingawa sitakuwa mbali na sehemu ya tukio. Napanga mkakati wa kuzamia
Sasa shida iko wapi?...huendi subiri pics!hebu nendeni najua picha zitarushwa humu sisi wengine tutafaidi kwa mbali