Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

Chopa tayari ipo kazini kitambo…...Alianzia Karatu nadhani kuibuka na Chopa
 
Lissu anamalizia vibaya. sehememu ambazo atakosekana kwenye masikio ya watu maana hizo sehemu zinawatu wachache afu haungwi mkono kabisa na hilo analijua.

Naona JPM akishinda tena kwa kishindo. Alikotoka sasa CCM wanasafisha makapi hadi wana CHADEMA wanajiunga na CCM.

Lissu anakosea kutukana tu bila kuwaeleza ni vipi atatatua changamoto walizonazo.
 
Mbona sioni Mtwara hapo wakati huko Singida anarudia Mara mbili mbili afu Arusha na Mbeya pia hakufanya vya kutosha,bora angeacha Lindi aende Mtwara
 
 
Mgonjwa wenu vipi nae ratiba yake... mwambie NTWALA NEWALA NACHINGWEA RUANGA MASASI SONGEA NANTUMBO mbona hajiiiiiiiii??? tunansubili ae timpe mipasho yake.
 
Naomba nitoe ushauri wa herufi kubwa

Muda uliobaki mheshimiwa Lissu apandishe joto na alete surprises jukwaani. Watu wamezoea kumuona Lissu peke yake na ujumbe wake ushaeleweka. Muda huu Ikiwezekana kupandisha jukwaanimtu asiyetegemewa na kufichua na kutaja yale makubwa ambayo wananchi hawayajui au yale ambayo hayakutajwa kwenye wiki za mwanzo za kampeni.

Please mheshimiwa na team yako kaeni muwe more creative mlete surprises. Huu ni muda mzuri wa ku score goli la ushindi kwakuwa hawatakuwa na muda wa kusawazisha.

Nimefurahi kuona Pemba ipo kwenye ratiba. Na siku za mwisho naomba mgombea na mgombea mwenza waungane wamalize pamoja.

Sisi wananchi wa kawaida tuendelee kuchangia Chadema ifikie malengo hiyo mikutano ni gharama tuwawezeshe.
 

Hivi NEC wamesharuhusu matusi eeh? Inakuweje utuambie ametukana NEC wamuache? Au wanamuogopa?
 
Sasa priscus atawaambiaje ccm hali mbaya alionayo,mana mwaka huu kilimanjaro majimbo yote cdm wanachukua bado arusha na manyara

Arusha itoe kwenye hayo mategemeo,
Arusha upinzani umepotea kabisa na ccm wameutumia huo mwanya
 
Niggah langu umetisha asee kwa kwa hii plan yako we gonna take down the street mkali..salute
 

Kilosa mbona hajaenda
Morogoro kusini
Isimani
Kalenga
Mlimba
 
Arusha itoe kwenye hayo mategemeo,
Arusha upinzani umepotea kabisa na ccm wameutumia huo mwanya
mkali unabofonga kutokea socket gani maana hiyo shudu unayobnga haikogo arfu..Yani chuga ni kilililiii mwanzo mwisho pipo power siyo tu sinoni,sakina,olololoo,kijengee,sekei,sakina,ngalimi yani kila mahali kimewaka chaliii wangu

#HATUAMBIWAGI
 
mkali unabofonga kutokea socket gani maana hiyo shudu unayobnga haikogo arfu..Yani chuga ni kilililiii mwanzo mwisho pipo power siyo tu sinoni,sakina,olololoo,kijengee,sekei,sakina,ngalimi yani kila mahali kimewaka chaliii wangu

#HATUAMBIWAGI

Vituo ambavyo hawajaapishwa tafadhali wekeni picha vitambuliwe hakuna janja janja hapa
 
Arusha itoe kwenye hayo mategemeo,
Arusha upinzani umepotea kabisa na ccm wameutumia huo mwanya
vipi ntwala newala ruanga pale alipofukizwa MOSHI MZITOOO akaingia mitini mbona hakanyagi tena??
nasikia wale wazee wa RUANGA wanakesha njiapanda akipita tu anakula KUBWA KULIKO.
 
Huyo msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…