Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

Naendelea kumuomba Mungu Niweze kushiriki Mkutano mmoja wa Kampeni ya Urais, Hasa ya huyu mbeba maono. Kura nimejitahidi kumuombea za kutosha kwa ndugu, Jamaa, marafiki, wapinzani nk
Nilikuwepo mkutano wa Lissu Furahisha Mwanza, Kigoma na Kahama, hakika mimi na familia, ukoo wetu wote, marafiki na mates mbali mbali kwa kauli moja tumekubaliana kura zetu ni kwa Lissu. Hatuwezi kufokewa sisi na mafisiem halafu tuwape kura. Wakawandanganye Wagogo wa Kongwa ambao miaka mitano wamekuwa wakishindia ubuyu na sasa wanakubali kupakiwa kwenye matrekta kupelekwa kwenye fiestra Dodoma kujaza vichwa, wamesahau shida.
 
Ni yeye......manyara tunamsubiria kwa hamu sendeka na tumbo lake akaliegeshe ngabomoa
 
Mapema kbs niko zangu kituo ila sitapiga Kira hadi muda ya jioni ili kuona nn kinaendelea
 
Lissu ana mapafu ya Farasi dume.

Kuna yule mgombea wa Chama Cha Mabango yeye akipiga ziara siku moja anaenda kumwaga oil wiki nzima huku akipepewa na chakubanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…