Ben Bella
JF-Expert Member
- Dec 3, 2019
- 529
- 1,858
Hizo ndizo ngome zake kuu. Acha Meko apasuliwe tu.
Kuna sehemu kama Ikungi,Karatu,Singida anaenda tena kwa Mara ya pili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu kama Ikungi,Karatu,Singida anaenda tena kwa Mara ya pili?
Lazima tumpe Ponda dakika 20 awachakaze maccm.Inaitwa Operesheni CHAKAZA....
Ombi kwa CHADEMA siku ya kufunga Kampeni Dar Sheikh Mponda asome DUA na Hotuba
Kondoa Irangi vipi? 😩 😩 😫🙏💔💔💔RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU
KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA.
TAREHE 18.10.2020
1. HANANG
2. MBULU
3. KARATU
TAREHE 19.10.2020
1. SIMANJIRO
2. MONDULI
3. LONGIDO
4. ARUMERU
5. HAI
6. MOSHI MJINI
TAREHE 20.10.2020
1. MWANGA
2. LUSHOTO
TAREHE 21.10.2020
1. KOROGWE
2. MUHEZA
3. TANGA TOWN
TAREHE 22.10.2020
1. WETE
2. CHAKECHAKE
3. MKOA MAGHARIBI
4. PEMBA
TAREHE 23.10.2020
1. LINDI
2. NACHINGWEA
3. NEWALA
4. NANYUMBU
TAREHE 24.10.2020
1. TUNDURU
2. NYASA
3. SONGEA
TAREHE 25.10.20201
1. CHEMBA
2. SINGIDA
3. IKUNGI
TAREHE 26.10.2020
1. SAME
2. HANDENI
3. PANGANI
TAREHE 27.10.2020
DAR ES SALAAM STAND UP .
TAREHE 28.10. 2020
KURA YA NDIO KWA #TUNDU LISU MAPEMA SANA.
Share kila mtu aipate ratiba hii
Alphonce Shadrack Paul
Waislamu walio wengi ni BAKWATA .PONDA ni siasa kali huwa anawaporomoshea mitusi BAKWATALazima tumpe Ponda dakika 20 awachakaze maccm.
Lisu anazurura kwenye vimiji tu hapoRatiba imeshona kwelikweli. Gari la mkaa haliwezi kupiga trips hizi.
Mbona kwa mji Wa Ndugai hakupita wakati watu wake wamechangia pesa za ujio wake Lissu ?!RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU
KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA.
TAREHE 18.10.2020
1. HANANG
2. MBULU
3. KARATU
TAREHE 19.10.2020
1. SIMANJIRO
2. MONDULI
3. LONGIDO
4. ARUMERU
5. HAI
6. MOSHI MJINI
TAREHE 20.10.2020
1. MWANGA
2. LUSHOTO
TAREHE 21.10.2020
1. KOROGWE
2. MUHEZA
3. TANGA TOWN
TAREHE 22.10.2020
1. WETE
2. CHAKECHAKE
3. MKOA MAGHARIBI
4. PEMBA
TAREHE 23.10.2020
1. LINDI
2. NACHINGWEA
3. NEWALA
4. NANYUMBU
TAREHE 24.10.2020
1. TUNDURU
2. NYASA
3. SONGEA
TAREHE 25.10.20201
1. CHEMBA
2. SINGIDA
3. IKUNGI
TAREHE 26.10.2020
1. SAME
2. HANDENI
3. PANGANI
TAREHE 27.10.2020
DAR ES SALAAM STAND UP .
TAREHE 28.10. 2020
KURA YA NDIO KWA #TUNDU LISU MAPEMA SANA.
Share kila mtu aipate ratiba hii
Alphonce Shadrack Paul
Na kweli kabisa, hii inaitwa OPERESHENI CHAKAZA.Inaitwa Operesheni CHAKAZA....
Ombi kwa CHADEMA siku ya kufunga Kampeni Dar Sheikh Mponda asome DUA na Hotuba
Haa haa ndo maana wanaita bakwata ccm wenyewe waislamuWaislamu walio wengi ni BAKWATA .PONDA ni siasa kali huwa anawaporomoshea mitusi BAKWATA
Ukishakuwa na PONDA tu ujue waislamu walio wengi ambao ni BAKWATA kura zao hupati
Hakuna mtu asiyependwa na waislamu wa BAKWATA kama huyo shehe Ponda
Mimi ni muislamu na sisi waislamu tulio wengi tunaichukia BAKWATA kwa ubadhirifu wa Mali za waislamuWaislamu walio wengi ni BAKWATA .PONDA ni siasa kali huwa anawaporomoshea mitusi BAKWATA
Ukishakuwa na PONDA tu ujue waislamu walio wengi ambao ni BAKWATA kura zao hupati
Hakuna mtu asiyependwa na waislamu wa BAKWATA kama huyo shehe Ponda
Hilo litakuwa kosa la kiufundi mapema mno.... sio kutoa tu neno, bali Sheikh Ponda atasoma dua siku hiyo.
Waislamu wanasema BAKWATA ilianzishwa na nyereree kwa lengo la kuwapumbaza na kuwacontrol waislamuMimi ni muislamu na sisi waislamu tulio wengi tunaichukia BAKWATA kwa ubadhirifu wa Mali za waislamu
Je umeshawahi kusikia BAKWATA Inazungumzia kero za waislamu?
Kuanzia mashekh waliopo jela hadi kuungua shule za kiislamu kila kukicha?
Ukitaka kujua ya waislamu tuulize sisi waislamu
Amini nakwambia huyu sheikh Ponda atavuna kura nyingi za waumini wa kiislamu isipokua wanafiki Ndio CCM
I am not very sure but what I know BAKWATA kuna waovu wengi kuna mtu anasema yule Alhady BAKWATA dar ni qaumu luutWaislamu wanasema BAKWATA ilianzishwa na nyereree kwa lengo la kuwapumbaza na kuwacontrol waislamu
Mzee mwenzangu salama?ipo tight