Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

Kila la kheri Rais Mtarajiwa wa nyoyo za watanzania.
 
Ratiba imeshona kwelikweli. Gari la mkaa haliwezi kupiga trips hizi.
 
Ratiba hii ni ya aina yake ,aisee Tundu Lissu mwaka huu amepania kuingia ikulu kwa namna yoyote ile
 
Hii post inasubiri kupitiwa na Moderators ili iende kwa umma!
 
Ushauri wangu chadema siku ya kufunga kampeni Dar es salaam, ikiwezekana fanyieni jangwani, pia wilaya zote za dar ziwepo hapo, pia mkutano au hotuba ya mh.lissu iandikwe rasmi, pia apewe muda wa kutosha kuhutubia kama masaa matatu hivi, pia ikiwezekana irushwe live na radio na TV, bila kusahau mitandao ya kijamii.Ombeni TV moja au mbili irushe mkutano huo, hoja zote zilizotolewa na jpm akiwa dar zijibiwe ipasavyo.Siku hyo mh.lissu ashauliwe kushusha jazba atulie hasa.pia hotuba hiyo ionyeshe mahali tulikotoka,tulipo, tunakoelekea na tulipokwama na namna ya kutoka iwapo chadema ikichaguliwa.pia wabunge wa dar wanadiwe ipasavyo kwa kuonyesha kwa nn wao wachaguliwe na sio wa ccm.Pia nashauri wafuatao wawepo, ponda, prof.baregu,sheikh Katimba,mwamakula, ikiwezekana na askofu bagonza waalikwe.Pia wajitaidi mkutano uishe saa kumi na mbili jioni bila kuzidisha muda
 
Kuna sehemu kama Ikungi,Karatu,Singida anaenda tena kwa Mara ya pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…