Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

Kondoa Irangi vipi? 😩 😩 😫🙏💔💔💔
 
Lazima tumpe Ponda dakika 20 awachakaze maccm.
Waislamu walio wengi ni BAKWATA .PONDA ni siasa kali huwa anawaporomoshea mitusi BAKWATA

Ukishakuwa na PONDA tu ujue waislamu walio wengi ambao ni BAKWATA kura zao hupati
Hakuna mtu asiyependwa na waislamu wa BAKWATA kama huyo shehe Ponda
 
Jamani vipi kuhusukutumia chopper......maana ratiba iko tight kinyama ....au ndiyo basi tena baada ya Kibali kuzingua

Angekubaliwa chopper ingerahisisha kuwafikia wananchi na wapigakura hasa hizi dakika za lala salama.....

Hafu namkumbusha kima cha chini mshahara kiwe 700,000.....maisha magumu
 
Ratiba imeshona kwelikweli. Gari la mkaa haliwezi kupiga trips hizi.
Lisu anazurura kwenye vimiji tu hapo

Ngoma iko vijijini kwenye wapiga kura asilimia 80 wa mijini ni asilimi 20 tu!!!

Anahangaika kutafuta kura kwenye asilimia 20!!! MIJINI ambako na CCM TUPO TENA sana tu.

VIJIJINI ndio nyumbani kwetu CCM kila kijiji tupo na tawi la CCM lipo na team za kampeni zipo

MIJINI ndiko tunalala

.Lisu anazurura mijini na maeneo yenye barabara za lami za Magufuli!!! Gari yake isipate vumbi!! CCM VIJIJI VYOTE nchi nzima tumesha cover kwa kampeni.Hatujaachakijiji hata kimoja
 
Mbona kwa mji Wa Ndugai hakupita wakati watu wake wamechangia pesa za ujio wake Lissu ?!
 
Inaitwa Operesheni CHAKAZA....

Ombi kwa CHADEMA siku ya kufunga Kampeni Dar Sheikh Mponda asome DUA na Hotuba
Na kweli kabisa, hii inaitwa OPERESHENI CHAKAZA.
Inanikumbusha operesheni Chakaza pia iliyomuondoa Nduli IDD Amin iliyitumia jina hilohilo Chakaza.
Sasa ili ilikuwa na Slogan ya "Apigwe nduli Idi Amin apigwe! Apigwe!"

Sasa hii itakuwa na slogan ya "Apigwe dikteta Jiwe apigwe! Apigwe"
 
Waislamu walio wengi ni BAKWATA .PONDA ni siasa kali huwa anawaporomoshea mitusi BAKWATA

Ukishakuwa na PONDA tu ujue waislamu walio wengi ambao ni BAKWATA kura zao hupati
Hakuna mtu asiyependwa na waislamu wa BAKWATA kama huyo shehe Ponda
Haa haa ndo maana wanaita bakwata ccm wenyewe waislamu
 
Waislamu walio wengi ni BAKWATA .PONDA ni siasa kali huwa anawaporomoshea mitusi BAKWATA

Ukishakuwa na PONDA tu ujue waislamu walio wengi ambao ni BAKWATA kura zao hupati
Hakuna mtu asiyependwa na waislamu wa BAKWATA kama huyo shehe Ponda
Mimi ni muislamu na sisi waislamu tulio wengi tunaichukia BAKWATA kwa ubadhirifu wa Mali za waislamu

Je umeshawahi kusikia BAKWATA Inazungumzia kero za waislamu?

Kuanzia mashekh waliopo jela hadi kuungua shule za kiislamu kila kukicha?
Ukitaka kujua ya waislamu tuulize sisi waislamu

Amini nakwambia huyu sheikh Ponda atavuna kura nyingi za waumini wa kiislamu isipokua wanafiki Ndio CCM
 
... sio kutoa tu neno, bali Sheikh Ponda atasoma dua siku hiyo.
Hilo litakuwa kosa la kiufundi mapema mno.

Aina yoyote ya Dini weka pembeni. Tunatoka huko, halafu tunakomalia kurudi huko?
 
Lissu anaizunguka Tanzania kama hana akili nzuri, na tabasamu lake kubwaa; mwenzake amegoma kabisa kukanyaga kusini, ameshajua kuna sehemu Tanzania hii hawataki kabisa kumuona, anatakiwa kujiuliza amekosea wapi.

Mwingine kaenda Mbeya amekuwa mkali anasema hata msipotuchagua tutaunda serikali, utaunda vipi serikali kama hujashinda? hizi ni kauli za waliochanganyikiwa na kukata tamaa.
 
Waislamu wanasema BAKWATA ilianzishwa na nyereree kwa lengo la kuwapumbaza na kuwacontrol waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…