Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hawaendi kufanya kampeni kwa kujibana maana na na wengine wakijubana wakakutana eneo moja wakati mmoja itakuwaje? Kuna ratiba siyo kujiamulia muda na siku unayotaka...Mtwara mjini alipita mwezi Septemba wakati wa awamu ya kwanza ya kampeni zake. Anaweza kufika tena safari hii akijibana.
Mbona wakapigwa showUlikuwa wapi mkuu? Pale alipiga mkutano hatari sana wa kanda. Juzi alivyokuwa kanatoka Simiyu wananchi walimzuia pale mahakama ya mbuzi wakapiga show pale!
Kuanzia tar 18 ratiba ni ngumu sana, ukiangalia geogeafia ya maeneo hayo na idadi ya mikutano, sidhan kama mkutano wa moshi ataweza kufanya, atachelewa kama ule mwingineTarh. 19 Mbona Ratiba ngumu sana, Nashauri dakika hizi za lala Salama Mheshimwa Rais apunguze kusimama kusalimia njiani, ratiba iko tight
Uhuru haki na maendeleo ya watuYeye mwenyewe ni ze comedy tosha
Nenda kaulize yeyote aliyehudhuria mikutano ya Lisu muulize Lisu alisemaje mkutano watakwambia hawakumbuki
Mgombea pekee ambaye watu hawamwelewi anaongea nini ni Lisu
Hata humu jamii forums waliacha kuandika alichosema wanapist tu ohh mapokezi ya Lisu mahali Fulani na picha za kuchakachua za waliohudhuria basi
Hawaandiki alichosema sababu hakipo!!!
Nani mbwa? Kuwa na adabu basi, Lissu ni mheshimiwa siyo mbwa.Huyu mbwa ana mapafu ya aje? Mbona hachoki?
Yaan Lumumba wengi ni matako ya nyani aisee kwahyo huoni nyomi lake singida[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Singida hawamtaki toka awe mbunge hajawahi hata kuwasemea chochote hawataki .Kule watu wana misimamo ya kufa mtu
Sasa anaogopa kuwa akikosa kura kwake itakuwaje? Chadema watamfukuza kuwa hana faida kwenye chama chao
Ndio ni vimiji vilivyo kandokando ya barabara kuu za mikoaKwani humo njiani anamosimamishwa huwa ni miji ?
Hivyo vyote vimiji viko kando ya barabara ya lami za Magufuli
Lisu kapita tu kama mtalii
Kweli, apunguze stop oversKuanzia tar 18 ratiba ni ngumu sana, ukiangalia geogeafia ya maeneo hayo na idadi ya mikutano, sidhan kama mkutano wa moshi ataweza kufanya, atachelewa kama ule mwingine
Au Songambele bar, au mazubu au kwa Luka mjaluo, Sendeka mwizi wa mchanga Yule!Ni yeye......manyara tunamsubiria kwa hamu sendeka na tumbo lake akaliegeshe ngabomoa
Sasa Kwani Magufuli kazuiliwa kwenda? Tena yeye alimfukuza Membe kwenye Chama, dikteta maaluniNaona ataenda kwa Membe kwenda kumsanifu kuwa Mimi ndie Lisu niliyekupora ugombea uraisi nipe kura yako!!
Wagombea wenyewe ndio hujipangia ratiba na kuipeleka NEC kuidhinishwaHivi ratiba ya maeneo wanaiweka wao halafu NEC wanawapangia siku tu au kila kitu wanapangiwa na NEC? Nauliza hivyo maana sina nijualo kwenye siasa lakini naona kama kuna maeneo yanarudiwa huku mengine yakiachwa kabisa
Ule mchanga ndio alinunua nyumba 2 ngarenaro hakua na nyumba mjini,pia lile tumbo linabeba mbuzi mzima ni mlakua wa nyama kuliko fisiAu Songambele bar, au mazubu au kwa Luka mjaluo, Sendeka mwizi wa mchanga Yule!
Salama mkuu! ulipotea kabisa hapa jukwaaniMzee mwenzangu salama?
Hahahaaa eti rais mtarajiwa wa nyoyo za watanzania! Lowassa keshawatoka nyoyoni?Kila la kheri Rais Mtarajiwa wa nyoyo za watanzania.
Akienda mnadani hapo Getini karibu na Gesti ya laizer wanachomaga mbuzi anakula mguu wa mbuzi peke yake, kweli jamaa ni mlaku wa nyama! Vipi upepo mererani huyu mlaku wa nyama Ole Sendeka ana hata dalili kweli?Ule mchanga ndio alinunua nyumba 2 ngarenaro hakua na nyumba mjini,pia lile tumbo linabeba mbuzi mzima ni mlakua wa nyama kuliko fisi