Uchaguzi 2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

Nmeshakuambia peleka upumbavu na utopolo wako huko unatumia njia za kizamani sana badilisha aina ya uwasilishaji wa hoja zako wanaJF wanakuona zezeta
Nmeshakuambia peleka upumbavu na utopolo wako huko unatumia njia za kizamani sana badilisha aina ya uwasilishaji wa hoja zako wanaJF wanakuona zezeta
Kusema ukweli kuwa Mbowe alikula michango yangu kama mbunge ni kosa?
 
Hivi ratiba ya maeneo wanaiweka wao halafu NEC wanawapangia siku tu au kila kitu wanapangiwa na NEC? Nauliza hivyo maana sina nijualo kwenye siasa lakini naona kama kuna maeneo yanarudiwa huku mengine yakiachwa kabisa
Ratiba unapanga ila NEC inaangalia hiyo siku na eneo kma kuna chama kingine either utasogeza mbele ratiba au mkutano utafutwa.
Mfano ukute mbeya mjini ipo booked na vyama labda 10 kuanzia leo mpaka tarehe 27 ina maana huwezi tena kanyaga huko!!

So mgombea ana draft tu ila NEC ndio ina fanya reonciliation ili wagombea wasigongane eneo moja. Sema hii changamoto ni vyama vidogo unakuta vimebook mkoa mzima labda Songwe kwa kampeni ya siku 3 lakini havifanyi kampeni.
Kwahiyo Lissu au JPM akitaka kwenda anazuiwa sababu eti kuna mgombea Urais wa NRA huko!! Hii ni changamoto sana kwenye upangaji ratiba
 
YEHODAHA

Umezidi uchokozi.
Hahahaa!

Membe anaenda kuwikiwa na Lisu
 
Waislamu walio wengi ni BAKWATA .PONDA ni siasa kali huwa anawaporomoshea mitusi BAKWATA

Ukishakuwa na PONDA tu ujue waislamu walio wengi ambao ni BAKWATA kura zao hupati
Hakuna mtu asiyependwa na waislamu wa BAKWATA kama huyo shehe Ponda
🤣🤣🤣 mimi ni Muislam na adui namba moja wa waislam ni Bakwata yaani hatutaki hata kuisikia.
 
Strategically hakupaswa kurudi Ikungi, na Singida badala yake hiyo tarehe 25 angepiga Mwanza( Nyamagan & Ilemela), huo ulikuwa ni msumali wa inchi 6 kwenye jeneza LA ccm
 
Vyovyote iwavyo wahakikishe Moshi mjini inapigwa show ya kufunga mwaka hapo ndio kitovu cha upinzani nchini itakua ajabu sana safari hii mkutano usifanyike
 
Jangwani bado tope la mafuriko ya mvua lipo
apige palepale Kawe Tanganyika Parkers alikotukania Gwajima,
wagombea wote na Madiwani wakiongozwa na Halima Mdee wawepo
ilo la Pomda na Mwamakula nalikubali kabisa
 
Vyovyote iwavyo wahakikishe Moshi mjini inapigwa show ya kufunga mwaka hapo ndio kitovu cha upinzani nchini itakua ajabu sana safari hii mkutano usifanyike
Sasa priscus atawaambiaje ccm hali mbaya alionayo,mana mwaka huu kilimanjaro majimbo yote cdm wanachukua bado arusha na manyara
 
Ratiba iko tight.
Lakini kibishi hivyo hivyo tutaendelea kumkimbiza mwizi kimya kimya. Lazima tusonge mbele kikamanda.
Chopa itatoboa nasikitika sioni Mtwara.
Naona mwenzie anakimbiza kikamolisha miradi na kukabidhi hasa yenye ukakaai ...nyumba za wazee wake

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Strategically hakupaswa kurudi Ikungi, na Singida badala yake hiyo tarehe 25 angepiga Mwanza( Nyamagan & Ilemela), huo ulikuwa ni msumali wa inchi 6 kwenye jeneza LA ccm
Kivipi ? ninavyojua mimi ni kuwa anafuata ratiba ya NEC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…