matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ratiba gani haina timeline
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji16]Kama nakuona mkuu jinsi Covid ilivyokuacha na butwaa
Kivip yaan?Kuna tetesi kwamba wako under house arrest.
Wise wordHuyu jamaa bado yuko ofisini? Anapaswa afukuzwe kazi mara moja.
Yaani siku zote mzee haonekani hadharani, kumbe mzee anaumwa mahututi, yeye kakaa kimya, sasa mzee amekufa ndio anakuja kutupa ratiba ya mazishi. Sasa ili iweje?
Maiti ina faida gani kwetu kuliko mtu mwwnye uhai?
Wenye akili timamu hawajaenda kuagaMsemaji Mkuu wa Serikali ameongea na Waandishi wa habari muda huu na kueleza kuhusu ratiba ya kuagwa kwa mwili wa hayati rais John Pombe Magufuli.
Mikoa ambayo ipo katika ratiba ya kuuaga mwili wa Hayati Rais Magufuli ni DSM, Dodoma, Mwanza na mazishi kufanyika Chato mkoani Geita.
Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Hassan Abbasi amebainisha hayo baada ya kikao kazi cha kupanga na kuratibu ratiba nzima ya kuagwa na mazishi ya hayati Rais John Pombe Magufuli. Kikao hicho kiliwahusisha mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu wa wizara.
Msemaji huyo wa Serikali amewataka wananchi wote kujitayarisha na kuendelea kutulia huku mipango yote ikiandaliwa.
Huyu jamaa bado yuko ofisini? Anapaswa afukuzwe kazi mara moja.
Yaani siku zote mzee haonekani hadharani, kumbe mzee anaumwa mahututi, yeye kakaa kimya, sasa mzee amekufa ndio anakuja kutupa ratiba ya mazishi. Sasa ili iweje?
Maiti ina faida gani kwetu kuliko mtu mwwnye uhai?
Ni nyumbani kwake, ana ndugu, marafiki na jamaa Mwanza, Ni mji aliokuwa anaishi kabla ya kuingia kwenye majukumu ya kitaifa ya unaibu waziri, uwaziri na urais, pengine angekuwa mbunge wa kawaida bila uwaziri angeendelea kuishi Mwanza.Mwanza imeingiaje ?
I agree with you, they have already started, watu wstajenga magnification hapo, hizo hela hakuna Luzon- acquit. Ulaji mtupu hapo. Watakula mpaka watapike maana hizo hazi hela not budgetted. Ni emergency funds mabillion.Isingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinachopendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
Nitamkumbua Magufuli kwa ukatili wake wa kutisha
1. Kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara - Mbezi bila chembe ya huruma ila wale wa mwanza aliwaachia
2.Kupora Korosho za wananchi wa mikoa ya kusini kwa mtutu wa bunduki, hii hali iiwatia wananchi umasikini
3. Bila kujali kuwa watu wameshahudumu serikalini kwa muda mrefu na wanategemea kustaafu, akapitisha hoja ya uhakiki na kuwafukuza maelfu ya watu hao Huku akiwaacha bila kuwagusa wanasiasa na wateule wake katika hilo zoezi
4. Kubabikizia watu kesi za uhujumu uchumi, kuwatesa kupitia mfumo wa mashitaka na kuzisababishia familia zao maumivu makubwa na hali ngumu
5. Kuendelea kuwashikilia mamia ya masheikh walioko jela huku akisamehe wabakaji akina Babu Seya
6. Kukataa kuwapa watumishi wa serikai stahiki zao kwa wakati, ikiwemo kupandishwa madaraja na nyongeza za ishahara
7. Kuharibu chaguzi zote zilizofanyika chini ya serikali yake, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, Alidhuluu haki ya wananchi kuchagua viongozi wao
8. Magufuli alitunga sheria kandamizi, na kuvuruga misingi ya katiba. Kafanya kia jitihada kulifanya bunge liwe butu, kuiweka mahakama mfukoni etc
9. Magufuli alikuwa na kauli mbaya zisizo na staha mfano "sisomeshi wazazi, serikali siyo iliyoleta tetemeko, baki na mavi yako nyumbani, nitapiga mashangazi.. etc"
10. Alikuwa na miradi kadhaa au mpango wa miradi kadhaa ambayo ni white elephant mfano, uwanja wa ndege Chato, Midege,Mpango wa Uwanja wa mpira Chato
11..Magufuli alikuwa mdini, huhitaji kuwa mwanasayansi wa elimu ya jamii kuona kuwa teuzi zake ziliaia sana watu wa imani moja
12. Magufuli alikuwa haheshimu katiba waa sheria pale zinapokinzana na anachokitaka yeye, mfano haki ya kufanya siasa kwa vyama vya siasa iliyokuwepo kikatiba hakuiheshimu
13. Magufulu hakuthubutu na wala hakujali kufanya uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na waliompiga risasi Lissu
Kwa hiyo mimi nakichukulia kifo cha Magufuli kama nafasi muhimu ili Taifa letu lipone.
Na sisi kama Taifa, tumeona kwa macho yetu namna katiba ya sasa ilivyokuwa hatari kama tunampata mtu mmoja asiyejali, ambaye ana element za udikteta, basi tuitumie nafasi hii kuliponya Taifa
Tangulia Magufuli, uwongo mbaya sitokumiss na sijawahi kukupenda kwa style ya uongozi wako, ninatamani Taifa lisipate Kiongozi mwenye mapungufu ya aina yako, ni mapungufu hatari kabisa
Msiba umejaa utata kibao kuanzia kuumwa, taarifa za viongozi wakubwa, kifo na hata ugonjwa uliomuua. Naomba yaliyobaki yaishe salama. Kweli ukubwa Una gharama maana hata tarehe ya kufa kwako inaweza kubadilisha.Huyu jamaa bado yuko ofisini? Anapaswa afukuzwe kazi mara moja.
Yaani siku zote mzee haonekani hadharani, kumbe mzee anaumwa mahututi, yeye kakaa kimya, sasa mzee amekufa ndio anakuja kutupa ratiba ya mazishi. Sasa ili iweje?
Maiti ina faida gani kwetu kuliko mtu mwwnye uhai?
Huyu msemaji anatakiwa aondolewe haraka sn maana ana kiburi kupita kiasiMsemaji Mkuu wa Serikali ameongea na Waandishi wa habari muda huu na kueleza kuhusu ratiba ya kuagwa kwa mwili wa hayati rais John Pombe Magufuli.
Mikoa ambayo ipo katika ratiba ya kuuaga mwili wa Hayati Rais Magufuli ni DSM, Dodoma, Mwanza na mazishi kufanyika Chato mkoani Geita.
Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Hassan Abbasi amebainisha hayo baada ya kikao kazi cha kupanga na kuratibu ratiba nzima ya kuagwa na mazishi ya hayati Rais John Pombe Magufuli. Kikao hicho kiliwahusisha mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu wa wizara.
Msemaji huyo wa Serikali amewataka wananchi wote kujitayarisha na kuendelea kutulia huku mipango yote ikiandaliwa.
Bahati nzuri corona inapiga mulemuleMagufuli asingekua na kiburi hakua mtu wa kufa sasa hivi.
Mbaya zaidi yeye aliamua kuhatarisha maisha yake na akataka na sisi tuwe wazembe kuhatarisha maisha yetu kama yeye.
Unajua una underlying medical conditions kama moyo, figo, ini, kansa, ukimwi, na magonjwa mengine hutaki kuchukua tahadhari na unaambiwa kabisa kua corona inaleta shida sana kama ukiwa na magonjwa mengine, wewe unaona wanasayansi ni wajinga wewe ndie mjanja, iko wapi sasa?
Ikibidi afungwe ni mpuuzi snHuyu jamaa bado yuko ofisini? Anapaswa afukuzwe kazi mara moja.
Yaani siku zote mzee haonekani hadharani, kumbe mzee anaumwa mahututi, yeye kakaa kimya, sasa mzee amekufa ndio anakuja kutupa ratiba ya mazishi. Sasa ili iweje?
Maiti ina faida gani kwetu kuliko mtu mwwnye uhai?
Hiyo inafanywa hivyo ili kupata mwanya wa kupiga hela maana walimiss sana upigaji kwa miaka mitano ya Magufuli madarakaniIsingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinachopendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
Bahati mbaya Hana maamuzi kwenye hili... Ni kaZi ya aliowaachaIsingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinachopendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa