Ratiba ya kuagwa mwili wa hayati Rais Magufuli; Mikoa minne kuuaga mwili, kuzikwa Chato

Wise word
 
Wenye akili timamu hawajaenda kuaga
 
I hope mama akipanga safu yake,huyu abbas na msigwa wataliwa vichwa
 

Nondo kama hizi zinaungiaga sana
 
Mwanza imeingiaje ?
Ni nyumbani kwake, ana ndugu, marafiki na jamaa Mwanza, Ni mji aliokuwa anaishi kabla ya kuingia kwenye majukumu ya kitaifa ya unaibu waziri, uwaziri na urais, pengine angekuwa mbunge wa kawaida bila uwaziri angeendelea kuishi Mwanza.
 
Isingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinachopendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
I agree with you, they have already started, watu wstajenga magnification hapo, hizo hela hakuna Luzon- acquit. Ulaji mtupu hapo. Watakula mpaka watapike maana hizo hazi hela not budgetted. Ni emergency funds mabillion.
Waliua Sokoine sasa Magufuli. They tried before and now they have succeeded. Angalia watakavyojifanya na majonzi, tutadanganywa tena. Hii sumu ilikuwa kiboko iliyopokwa kwa mzena hospitali.
 

Mkuu happ kwenye babu seya?[emoji2960]
 
Msiba umejaa utata kibao kuanzia kuumwa, taarifa za viongozi wakubwa, kifo na hata ugonjwa uliomuua. Naomba yaliyobaki yaishe salama. Kweli ukubwa Una gharama maana hata tarehe ya kufa kwako inaweza kubadilisha.
 
Magufuli asingekua na kiburi hakua mtu wa kufa sasa hivi.

Mbaya zaidi yeye aliamua kuhatarisha maisha yake na akataka na sisi tuwe wazembe kuhatarisha maisha yetu kama yeye.

Unajua una underlying medical conditions kama moyo, figo, ini, kansa, ukimwi, na magonjwa mengine hutaki kuchukua tahadhari na unaambiwa kabisa kua corona inaleta shida sana kama ukiwa na magonjwa mengine, wewe unaona wanasayansi ni wajinga wewe ndie mjanja, iko wapi sasa?
 
Huyu msemaji anatakiwa aondolewe haraka sn maana ana kiburi kupita kiasi
 
Matumizi mabya ya pesa zetu hayo ata mwenyewe mwendazake alikataa matumizi hayo.
 
Bahati nzuri corona inapiga mulemule
 
Ikibidi afungwe ni mpuuzi sn
 
Isingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinachopendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
Hiyo inafanywa hivyo ili kupata mwanya wa kupiga hela maana walimiss sana upigaji kwa miaka mitano ya Magufuli madarakani
 
Isingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinachopendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
Bahati mbaya Hana maamuzi kwenye hili... Ni kaZi ya aliowaacha

JPM aliishi na kufia dar... sio mbaya tukamuaga hapa dar, hakuna too much complications

JPM alikua Ras na makao makuu yake ni Dodoma, na ndiye aliyrfaninikisha Hilo... Acha makao makuu na hasa watumishi wa serikali, wanasiasa na Dodoma nzima wamuage ... Ni heshima kwake

JPM ni WA kanda ya ziwa, kwanza ndio kitovu chao, haidhuru wakipata fursa

Mwisho atazikwa chato, so kule lazima wataaga
 
Reactions: SMU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…