Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
unafaamu October kuna super cup? simba itakaa pembeni na ligi kuu!Ligi yetu imeanza j4 tarehe 15/08, leo timu zinacheza mechi ya pili cha kushangaza pana timu hazijacheza hata mechi moja ya ligi, hii inakaaje.
Natambua tuna timu nne zinatuwkilisha kimataifa na mbili zimecheza mechi tayari kwa maana ya Azam na Simba, sasa Yanga na Singida Big Stars vipi?
Unahairisha mechi ya Yanga ambayo hata haihitaji kusafiri nje ya nchi kucheza kimataifa lakini unaikomalia Azam icheze na timu ambayo wako nusu huku ikihitajika kwenda Ethiopia, why wasingehairisha na ya Azam pia?Mechi ya Yanga na KMC haikutakiwa kuahirishwa ni basi tu
Wanaogopa kucheza mechi sijui shughuli yao ya msingi hapa mjini ni ipi. KMC imebidi waende kwanza Lindi ndiyo warudi kucheza na Yanga wakati Yanga hao hao walishindwa kucheza na hao KMC baada ya kutoka Tanga.Unahairisha mechi ya Yanga ambayo hata haihitaji kusafiri nje ya nchi kucheza kimataifa lakini unaikomalia Azam icheze na timu ambayo wako nusu huku ikihitajika kwenda Ethiopia, why wasingehairisha na ya Azam pia?
Mkuu usiwashtue,wajaze viporo,Simba hatupotezi game yoyote ,wao wakomae na viporo vyao tuYanga acheni kuogopa mechi, mnakuwa kama si timu ya mpira bwana. Yani mnataka muwe mnacheza mechi moja kwa wiki? Mkichanganyiwa tu mechi mbili za mashindano tofauti mnachanganyikiwa, mnaomba mechi ziahirishwe. Hadi hao wasomali mnawaogopa?
Ila style hii wanayotaka ya kucheza mechi moja kwa wiki itakuwa ngumu kupoteza. Hii timu ikipata mechi mbili tatu ngumu mfululizo za karibu karibu wataanza kudondosha points kama hawana akili nzuri, wanalijua hilo ndiyo maana wanaacha magape.Mkuu usiwashtue,wajaze viporo,Simba hatupotezi game yoyote ,wao wakomae na viporo vyao tu
Wakitoka kimataifa wafululiza mechi ndo kazi itakapokuwa ngumuIla style hii wanayotaka ya kucheza mechi moja kwa wiki itakuwa ngumu kupoteza. Hii timu ikipata mechi mbili tatu ngumu mfululizo za karibu karibu wataanza kudondosha points kama hawana akili nzuri, wanalijua hilo ndiyo maana wanaacha magape.
Kisa favours ni team yako utopolooo, mkianza kubanangwaa mnalia TFF ni simbaa, lolWabongo punguzeni kulalamikia vitu visivyo na kichwa wala miguu.
Kwani hoja ni umbali au uchovu?Azam ana game ya kimataifa away kacheza Mchezaji wake ila Yanga na Singida wanacheza hapa hapa hawajacheza [emoji23][emoji23] halafu Hao Hao mwaka jana walikuwa anashu paza shingo hakuna viporo [emoji23][emoji23]