Ratiba ya ligi ipo sawasawa kweli?

Ratiba ya ligi ipo sawasawa kweli?

Ligi yetu imeanza j4 tarehe 15/08, leo timu zinacheza mechi ya pili cha kushangaza pana timu hazijacheza hata mechi moja ya ligi, hii inakaaje.
Natambua tuna timu nne zinatuwkilisha kimataifa na mbili zimecheza mechi tayari kwa maana ya Azam na Simba, sasa Yanga na Singida Big Stars vipi?
unafaamu October kuna super cup? simba itakaa pembeni na ligi kuu!
 
Mechi ya Yanga na KMC haikutakiwa kuahirishwa ni basi tu
Unahairisha mechi ya Yanga ambayo hata haihitaji kusafiri nje ya nchi kucheza kimataifa lakini unaikomalia Azam icheze na timu ambayo wako nusu huku ikihitajika kwenda Ethiopia, why wasingehairisha na ya Azam pia?
 
Wanaogopa kucheza mechi sijui shughuli yao ya msingi hapa mjini ni ipi. KMC imebidi waende kwanza Lindi ndiyo warudi kucheza na Yanga wakati Yanga hao hao walishindwa kucheza na hao KMC baada ya kutoka Tanga.
 
Yanga acheni kuogopa mechi, mnakuwa kama si timu ya mpira bwana. Yani mnataka muwe mnacheza mechi moja kwa wiki? Mkichanganyiwa tu mechi mbili za mashindano tofauti mnachanganyikiwa, mnaomba mechi ziahirishwe. Hadi hao wasomali mnawaogopa?
Mkuu usiwashtue,wajaze viporo,Simba hatupotezi game yoyote ,wao wakomae na viporo vyao tu
 
Mkuu usiwashtue,wajaze viporo,Simba hatupotezi game yoyote ,wao wakomae na viporo vyao tu
Ila style hii wanayotaka ya kucheza mechi moja kwa wiki itakuwa ngumu kupoteza. Hii timu ikipata mechi mbili tatu ngumu mfululizo za karibu karibu wataanza kudondosha points kama hawana akili nzuri, wanalijua hilo ndiyo maana wanaacha magape.
 
Wakitoka kimataifa wafululiza mechi ndo kazi itakapokuwa ngumu
 
Naona sasa hivi mechi za ligi kuu zinachezwa kila siku. Jana mashujaa na geita, leo kuna mechi moja singida na kesho moja yanga.
 
Azam ana game ya kimataifa away kacheza Mchezaji wake ila Yanga na Singida wanacheza hapa hapa hawajacheza [emoji23][emoji23] halafu Hao Hao mwaka jana walikuwa anashu paza shingo hakuna viporo [emoji23][emoji23]
Kwani hoja ni umbali au uchovu?
 
Back
Top Bottom