Nashindwa kuelewa kwanini azam jana na KMC walicheza na leo hakuna game Taifa japo sijajua taifa Kuna nini Angalieni ratiba zenu TFF. Watu J. Pili Na J.mosi wako home wanasubiria burudani
Huenda hizo timu (Azam na KMC) Jumanne zina mechi kwa hiyo zimecheza Jumamosi ili kupata angalau muda kidogo wa kupumzika! Ni kweli ratiba ya michezo ya ligi yetu ina shida!
Mpaka wife Leo kaniuliza vipi Leo jumamosi mbona bado upo hakuna mechi Leo? Nikakosa la kujibu maana hata watu wasio wa mpira wanashangaa Leo hakuna mechi