Ratiba ya maandamano 2026

Ratiba ya maandamano 2026

Ya sabasaba yamepita bila watu wengi kuandamana kutokana na nguvu kubwa ya ulinzi iliyotumika kudhibiti maandamano
Siku ya 7/7 ilitawaliwa na ukimya wa kutisha
Barabara zilikuwa tupu
Biashara asilimia 99 zilikuwa zimefungwa
Watanganyika kwa asilimia 90 hawakutoka majumbani, kitu ambacho si kawaida kwa siku kama hiyo

Serikali pengine itaona aibu kutoa tathmini ya hasara iliyopata kwa hiyo siku moja tuu
Kuanzia maenesho ya miaka 50 ya 7/7 kudoda na kudorora vibaya sana, gharama kubwa iliyomika kuvileta barabarani vyombo vya ulinzi na usalama, posho, mafuta, vifaa, silaha, nknk..

Biashara zote ambazo zilifungwa serikali pia ilikosa mapato
Ukimya ule wa jana haukuwa utulivu wa amani bali ulikuwa utulivu uliojaa fukuto la chini
Hilo fukuto la chini kwa chini linaendelea kufukuta chini kwa chini na hili na hili ndio linatengeneza ratiba endelevu ya maandamano kwa kila tukio kubwa la kitaifa kwa siku zijazo

1. Maadhimisho ya 8/8
2. Ufunguzi wa AFCON
3. Maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa taifa 14. Oct
4. Maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya October 29
5. Maadhimisho ya sikukuu za mwisho wa mwaka X-mas na Mwaka mpya!

Kuna madai ya wananchi wa Tanganyika.. Hayafanyiwi kazi yanaendelea kupuuzwa.. Yakiendelea kupuuzwa tena na tena hizi ratiba za maandamano hazitakoma
HIi ratiba inabeba dhima kuu ya "ku_iparalyze" Serikali. Nilikuwa nafuatilia mijadala kadhaa kujua dhima kuu sikuelewa kwa haraka ila kadiri muda unavyopita naelewa taratibu
 
Ya sabasaba yamepita bila watu wengi kuandamana kutokana na nguvu kubwa ya ulinzi iliyotumika kudhibiti maandamano
Siku ya 7/7 ilitawaliwa na ukimya wa kutisha
Barabara zilikuwa tupu
Biashara asilimia 99 zilikuwa zimefungwa
Watanganyika kwa asilimia 90 hawakutoka majumbani, kitu ambacho si kawaida kwa siku kama hiyo

Serikali pengine itaona aibu kutoa tathmini ya hasara iliyopata kwa hiyo siku moja tuu
Kuanzia maenesho ya miaka 50 ya 7/7 kudoda na kudorora vibaya sana, gharama kubwa iliyomika kuvileta barabarani vyombo vya ulinzi na usalama, posho, mafuta, vifaa, silaha, nknk..

Biashara zote ambazo zilifungwa serikali pia ilikosa mapato
Ukimya ule wa jana haukuwa utulivu wa amani bali ulikuwa utulivu uliojaa fukuto la chini
Hilo fukuto la chini kwa chini linaendelea kufukuta chini kwa chini na hili na hili ndio linatengeneza ratiba endelevu ya maandamano kwa kila tukio kubwa la kitaifa kwa siku zijazo

1. Maadhimisho ya 8/8
2. Ufunguzi wa AFCON
3. Maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa taifa 14. Oct
4. Maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya October 29
5. Maadhimisho ya sikukuu za mwisho wa mwaka X-mas na Mwaka mpya!

Kuna madai ya wananchi wa Tanganyika.. Hayafanyiwi kazi yanaendelea kupuuzwa.. Yakiendelea kupuuzwa tena na tena hizi ratiba za maandamano hazitakoma
waendelee tu huo ndio uhuru wenyewe.
 
Leta matako yako barabarani utaona yanavyochanwa , Ahaaa ahaaaaa hakuna maandamano tena Tanzania mpaka ,wambura , Awadh na Mafwele wastaafu jeshi ni mwendo wa risasi tu
 
Halafu maandamano siyo kosa la jinai! Vitisho ni vya nini tena!!

Mbona siku chache tu zilizopita Yanga na simba walifanya parade zao zilizoambatana na maandamano makubwa, na hatukuona yakipigwa marufuku? Haya mengine kwa nini yanazuiliwa kwa nguvu kubwa?
ya kisiasa yana uhalifu mwingi ndani yake
 
Naunga Mkono hiyo ratiba yaani hakuna kupoa ,MWAMWI....Kila Jumatatu na Alhamis - Maria Space kujumuika kwa wingi ,ni kuwapiga tu kiuchumi mpaka waombe pooo!!
leta Matako barabarani ndo tujue unaunga mkono sio kukaaa knye keyboard , tunawataka sana watu kama nyie njooni
 
Wewe Poyoyo ,mnapigwa kiuchumi nyie mazoba ,watu hawapigani au hawaandamani physically ,watu wanapigana na kuandamana kisayansi.
 
labdabunge la maria ndo linaandamana ahaaaaaa watanzania wajinga sanaaaaaa
Huyo huyo Maria unayemsema ndiyo kutwa kumuwinda ,hilohilo Bunge la Maria na Mushabaha wote mlijaribu kuwateka mkashindwa ,sasa kama hawana impact mnawawinda kuwateka wa nini?
 
Back
Top Bottom