Ratiba ya mapokezi ya Taifa Stars

Ratiba ya mapokezi ya Taifa Stars

Ungeweka kipengele cha MUDA, TUKIO, MHUSIKA ndio ratiba ingebamba. Mie ningejitahidi muda wa mijeledi niwepo kwenye tukio
 
Ingekuwa vema kama kila kipengele kikajulikana kinashughulikiwa na nani?

Hivi hakutakuwa na hotuba fupi? mgeni rwasmi je?😎
 
Walienda SA siku kumi kujiandaa na pambano lao na Lesotho. Ila walitumia Dk 90 tu kusahau maandalizi ya siku 10.
 
Back
Top Bottom