Ratiba ya mazishi mwili wa Balozi Edwin Rutageruka, kuzikwa Bukoba Februari 19

Ratiba ya mazishi mwili wa Balozi Edwin Rutageruka, kuzikwa Bukoba Februari 19

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Tanzania, Balozi Edwin Rutageruka aliyefariki dunia 13 Februari, Hospitali ya Agha Khan, Dar es Salaam, utazikwa Bukoba mkoani Kagera Jumamosi hii Februari 19, 2022.

FLtdWjRXMAA-1hc.jpg
 
Back
Top Bottom