Ratiba ya mbao wa maji

Ratiba ya mbao wa maji

Bitoz Jobiso

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
925
Reaction score
1,202
hii ratiba ya mgao wa maji iliyotolewa na dawasa mbona hawaifuatilii au ni usanii wa kisiasa maana ratiba ya maji waliyosema jana yatatoka Mbezi juu ikiwemo lakini hola
 
Na sinza tuliambiwa leo
Hamna kitu
Usanii mtupu
 
Manzese tuliambiwa leo zamu yetu mpaka usiku huu hatujaona hata tone la maji na tope lake
 
kama kuna watu humu maji maeneo yao yametoka kwa mujibu wa ratiba ya mgao mtuambie
 
Hotuba zote za Awesu ni
".... Nani kama mama piga makofi kwa mama Samia..."
Mwambieni kila sekunde mamilioni ya lita za maji yanamwagika bahari na haihitaji teknolojia ya rocket kuyazuia na kuwapelekea watu
Watu wa Pangani nani kawaloga?
 
Nchi ukishindwa kuji position utapata shida maisha yako yote.
Kuna watu wanaishi kwenye mazingira haya ya nchi hii lakini wana enjoy life
 
hii ratiba ya mgao wa maji iliyotolewa na dawasa mbona hawaifuatilii au ni usanii wa kisiasa maana ratiba ya maji waliyosema jana yatatoka Mbezi juu ikiwemo lakini hola
Pole mkuu kweli uko na shida ya Majiii... hicho kichwa cha habari baba..
 
hii ratiba ya mgao wa maji iliyotolewa na dawasa mbona hawaifuatilii au ni usanii wa kisiasa maana ratiba ya maji waliyosema jana yatatoka Mbezi juu ikiwemo lakini hola

2025 uchaguzi utakuja na haya machungu yatasahaulika
 
Back
Top Bottom