vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Timu ya Yanga imealikwa nchini Afrika Kusini katika mashindano ya Toyota Cup na TS Galaxy.
Mashindano ya TS Galaxy yatarushwa live na kituo cha matangazo cha SABC na mashindano ya Toyota cup yatarushwa live na kituo cha matangazo cha Super sport.
Tarehe 20/07/2024
Yanga vs Augsburg
Tarehe 28/07/2024
Yanga vs Kaizer Chiefs
Baada ya hapo timu itarudi Dar es salaam kwaajili ya kujiandaa na mechi ya mwisho ya kirafiki itakayopigwa kwenye kilele cha siku ya mwananchi.