holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Nimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu, mashujaa aliyecheza na Yanga kigoma amecheza Jana na Singida BS na kunyukwa bao tatu sufuri wakati huohuo Yanga yenyewe inacheza kesho, hapa imekaaje wakuu?
Jambo hili limekuwa likijirudia Mara kwa Mara na hakuna anaejali kabisa matokeo yake timu hazipati muda wa kutosha kujiandaa dhidi ya mechi inayokuja huku Simba na yanga zikinufaika na ratiba hiyo,kwa Nini team zilizocheza leo zisicheze michezo yake ijayo siku moja??
Hussein Massanza wewe ni msemaji wa timu ya Singida na ni miongoni mwa wadau wa soka nchini unaweza kutusaidia kujibu hili na kulifikisha ktk mamlaka husika...