Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wajiandae kucheza na timu isiyokuwa na uongoziKolo fc wajiandae kisaikolojia
Kipindi hiki ndo mtajua tuna uongozi au hatunawajiandae kucheza na timu isiyokuwa na uongozi
Sisi au mahakama?Kipindi hiki ndo mtajua tuna uongozi au hatuna
Tusubiri tar 8Sisi au mahakama?
Halafu cha ajabu timu isiyokuwa na uongozi itamuongoza Simba sc kwa dakika zote 90wajiandae kucheza na timu isiyokuwa na uongozi
Chama ana gunduSimba wasipokuja tutafanyaje!?
Simba wanaweza wasilete team uwanjani hili tff waliangalieChama ana gundu
Tunawasubil kwa hamu makolozdad tuwapge kwenye mshonoSimba wanaweza wasilete team uwanjani hili tff waliangalie