mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwa sababu tuna muogopa chama asiye na mbio au veteran dube? Na veteran mwamnyeto.MPIRA NA UMRISimba wanaweza wasilete team uwanjani hili tff waliangalie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu tuna muogopa chama asiye na mbio au veteran dube? Na veteran mwamnyeto.MPIRA NA UMRISimba wanaweza wasilete team uwanjani hili tff waliangalie
Kilugha gani hiki?
Sio tu kisiasa sema kujipendekeza kisiasaKwa vile ni mwanzo wa ligi huo mfumo sio mbaya ila kupeleka mechi Amani naona imekaa kisiasa.
Ndugu yangu nawewe, kwani uwanjani wanacheza uongozi au wachezaji. Nawaonea huruma hiyo siku. Nasikia mlikula 6, mjiandae kuzidisha mara 2 yake. Tabu iko paleplae...wajiandae kucheza na timu isiyokuwa na uongozi
Politike.Kwa vile ni mwanzo wa ligi huo mfumo sio mbaya ila kupeleka mechi Amani naona imekaa kisiasa.
Kizaramo hiko mama.Kilugha gani hiki?
Inatakiwa bingwa acheze na wa nne, wa pili acheze na wa tatu.
Endelea kusikiaNasikia mlikula 6
Mna vimaneno Sana tutapiga hamta amini
View attachment 3045377
tatizo la L na R halijawahi kuwaacha salama watu wa kanda ya ziwa😅😅Wale wa kukalili washajireta wenyewe
Sijajua ndugu yanguVincenzo Jr eti Makambo amefariki?
Tafuta habari huyo mchezaji wenu alikua ujue...Sijajua ndugu yangu
KimatumbiKilugha gani hiki?
Nimelia sana hapa 😭Tafuta habari huyo mchezaji wenu alikua ujue...
Tutasikia kama kweli...nimesikitika sana